Wanaume wa sasa hivi wengi mitihani mitupu...!!

Vyote hvyo havibadilishi asili ya mwanadamu kamwee ndo maana mwanaume kuna tabia ukiwa Nazo utaitwa shoga na mwanamke tom boy....so we can't change nature!!wewe utakula kwa jasho miye ntazaa kwa uchungu!!!
Lakini now days kwa kufuata maisha na tamaduni za kimagharibi wanawake wanajifanya wanataka kuwa sawa na wanaume.! Wakisahau hizo fact kuwa wao watabaki kuwa wanawake.!
Katika uhalisia utapata kila kitu kama mie nami nitapewa kila kitu toka kwako bila masharti mnayotupa kwa kujifanya wana harakati.
Vinginevyo utamu unaopata ninapogegeda wewe utalipa nami nitalipa.. so 50/50.
 
Unaiongelea generation ya 80 au 90? sisi tuliopitia kipindi cha njaa cha unga wa njano hatuogopi shida tunajua jinsi ya kupambana😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]malaika wa giza kazini...
[emoji23] [emoji23] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] una nini wewe!weekend leo
Mimi nashindwa kuelewa
a) kalipa
b) kaahidi kulipa
c) kaomba msamaha
d) mmeogopa ban
e) non of above
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…