Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnampa klediti nyingi sana huyu binti wala asizostahili.
Anyway, kuna ukweli fulani tena wengi hata boksa hawana.
Ukipita vijijini utagundua mtu analala siku 2 bila kuoga.
kama ana-date na visharobaro....vitaacha kunuka.....afate wanaume wenye staha zao aone.....
anamwongelea kibonde na
wanaume wa redio clouds kina ruge...aje huku aone kama
atabanduka..kajitongozesha kwa mabossi maskini wee matokeo yake ndio
haya
Hili nimelikuta kwenye ukurasa wake wa facebook anasema wanaume wengi wa tz wananuka boxer,midomo,soksi nk,nimelileta hapa jf magreat thinker mnalizungumziaje?
Nina mashaka na huo utafiti, isije ikawa katembea na vivulana viwili-vitatu halafu anawaita wanaume!