Bumpkin Billionare
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 1,332
- 621
Hili nimelikuta kwenye ukurasa wake wa facebook anasema wanaume wengi wa tz wananuka boxer,midomo,soksi nk,nimelileta hapa jf magreat thinker mnalizungumziaje?
wakwake ndio mchafu ye kajuaje yote hayo?ukitaka kujua uhondo wa ngoma uingie ucheze
Diva ndio nani?
wanaume wachafu sio watz tu...embu ajaribu wazungu wanigeria wakongo alafu atuambie kama watz ndio wachafu zaidi...
Hili nimelikuta kwenye ukurasa wake wa facebook anasema wanaume wengi wa tz wananuka boxer,midomo,soksi nk,nimelileta hapa jf magreat thinker mnalizungumziaje?