Wanaume wa Tanzania hawaogi, Hawafui nguo za ndani, Hawapigi mswaki?

Wenye wake zao mara nyingi wanafuliwa na wake zao, na wengi wanaoga daima hukuta kila kitu mkewe kesha muandalia sasa sijui hao masingle ila kwa wenye ndoa wengi wao huwa wanajiswafi labda kama "hubby wake"
 
anazan kile kijamaa chake kinaitwa moraka kilivyo na boksa 1 basi wote tuko hvo.wengine tuko smat bhana,tunafua boksa kila wikend ikikauka tunapiga pasi stephot
 
Last edited by a moderator:
kama ana-date na visharobaro....vitaacha kunuka.....afate wanaume wenye staha zao aone.....
Tena kama amegundua kuwa WENGI wananuka, basi inamaana amekwenda kwa WENGI. Ni mtu wa kuogopwa sana
 
Diva unawadharilisha wanaume uliotembea nao na wanaume wa ofisini kwenu watakutenga na pia mbona na wewe mda mwingi unatafuna big g(bazooka) mdomoni au na wewe unatema?
 
Yani huyu akiniambia nimrukie then ananilipa wala sikubali, aaiiggrrh! Hata havutii!
Huyu demu ananuka Chupi, Kuna jamaa yangu alishawahi Ku attempt kummega akaishia kutapika
 
Jaman yan kawachana wakina Kibonde,mchomvu,B12 Mana ndo hanao kutana nao na kutoa utafiti huo. KIBONDE acha kelele boxer imetatuka.
 

Nina mashaka na uwezo wako wa kufanya research, yani wavulana wachache wa chuo ulichosoma na makonda wa kwenye daladala ndio wanawakilisha jamii nzima ya wanaume! Jaribu pia kuchunguza wanaume waliopo maofisini kama kwenye makampuni, mabenki, ubalozini, NGOs, n.k. Baada ya hapo uje na jibu la uhakika, wasiwasi wangu ni namna utakavyofanya huo utafiti.
 
Hizi topic za ki-facebook huwa hazifit JF. Too childish...
 
ye amenusa hilo libikini lake akaona mmmmmmmmmmmmmmmmm kama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…