Wanaume wa Tanzania na romance

Halafu sijui kwanini mwingine ukimshika mkono anasema anaona aibu anakwambia sipendi tushikane mikono mbele za watu, halafu baadae huyo huyo anaanza kusema ohooo sijui u dont show me love and affectionate

mpwa, tatizo hawa wenzetu wanapenda show game!kidume ukiamua kuifanya na kuikamua kisawasawa wanaona tena so!
 

kwa kweli ndoa ngumu, mie kuliko nitoke na mwenzangu niyafanye hayo ni bora nictoke kabisa, na nikiamua kutoka hata kama nina hacra nitaivumilia nisiharibu mtoko then hayo m engine yataendelea badae.....nyumba hizi khaa.
 


kuhusu mada, nafikiri kila mtu anafanya vyovyote vile anavyojisikia viziru na yeye na wake walivyozoea. kwa wengine hata kubusiana mbele za watu si ustaarabu...mfano, mimi siku yangu ya kufunga ndoa sikumbusu mke wangu kama nakula hilo ambalo nyie vijana wa mtaani mnaita denda...nilimbusu kwa ustaarabu si kulana ulimi au mambo ya ajabu kama vile usiku hautakuja...kutembea pamoja, kushikana etc, ni upendeleo wa moyo wa mtu...wakati mwingine inaweza kuwa limbukeni ya mapenzi kwasababu unajiona kama ndo wewe tu uliyeolewa. mfakatu...
 
kwa kweli ndoa ngumu, mie kuliko nitoke na mwenzangu niyafanye hayo ni bora nictoke kabisa, na nikiamua kutoka hata kama nina hacra nitaivumilia nisiharibu mtoko then hayo m engine yataendelea badae.....nyumba hizi khaa.
unajua hizi ndoa mara nyingi watu hatuandaliwi vizuri (haswa vijana kuanzia 1970 kuja juu) ndio matokeo yake inakuwa hivi na pia kutomshirikisha Mungu katika maisha ya kila siku ndio inaleta yote haya

mmmh ila ndoa zina mambo jamani nyie acheni tu huku kupishana maneno ndio chanzo kikuu cha matatizo yote

Nyamayao wewe ni mkongwe nadhani unaelewa namaanisha nn. Ndoa nyingi zimeshikiliwa na kiapo tu na mazoea na watoto
 

Hapo theory inayotumika ni ya kutomlisha chambo samaki aliyeko nchi kavu. Utakuwa unapoteza resources kwa ajiri ya samaki wengine waliokO BADO MAJINI ETI.
 

du kwanza ilo jina lako tu,naogopa ata kuweka coment yangu apa! Asha ngedere teh teh! Bwana suala la mapenzi zito,kabla upendo unakuapo tena sana lakn baadaye mamb yanabadilika sjui uwaga inakuaje?wanaume tulio wengi nikiwepo mimi,nikimtnkea demu nikimaliza mambo yangu uwaga natamani ata kumwacha apo apo tulipomalizia mambo yetu.
 

MMMMMhhhhh is that so??? ure getting there... sasa why??????????? haukumpenda au??
 
Hapo theory inayotumika ni ya kutomlisha chambo samaki aliyeko nchi kavu. Utakuwa unapoteza resources kwa ajiri ya samaki wengine waliokO BADO MAJINI ETI.
Mimi nataka sana nifahamu,, kwa hiyo ukimweka mwanamke ndani kama mkeo inatosha na unaona kama hauna jukumu la kumfanya awe happy kwa kumfanyia yale anayoyapenda??
 

haya mambo yapo kwenye ndoa nyingi sana hapa bongo,na sielewi ni kwa nn.ni mbaya coz masuala ya kufichana fichana yanaongeza rate ya infidelity kwa kasi.kama mtu una mke wako,mpo kwenye party kwa nini usiwenae karibu?kwa nini ujifiche?...ni kwa sababu kuna uwezekano mkubwa kwamba ndani ya huo huo ukumbi una wanawake wengine kadhaa,wa oficini,jirani,wa bar e.t.c otherwise kwa nini hutaki kuonyesha ukaribu kwa mkeo mbele wa jamii?
 
Mimi nataka sana nifahamu,, kwa hiyo ukimweka mwanamke ndani kama mkeo inatosha na unaona kama hauna jukumu la kumfanya awe happy kwa kumfanyia yale anayoyapenda??

na mahusiano mengi siku hizi yamebase tu kwenye ndoa,ni kama fasheni flani hivi.kwa hiyo ntu akishafunga ndoa anaona amemaliza hana tena jukumu la affection kwa mwenzie.
 
vunja ukimya ....

siku ukijiskia unataka maua ......mpigie simu umwambie leo usirudi home mpaka uje na maua! yanini kujikera kwa kutaka mwanamme afahamu ile inaitwa 'ilmu lghayb' (elimu iliyojificha) ya kusoma mawazo yako?

ha haaaaaaaaaa, unaomba zawadi? sasa hiyo kali. anatakiwa mwenyewe ndo awe romantic
 
Mimi nataka sana nifahamu,, kwa hiyo ukimweka mwanamke ndani kama mkeo inatosha na unaona kama hauna jukumu la kumfanya awe happy kwa kumfanyia yale anayoyapenda??

we umeolewa?
 
unazungumzia personal experience au perception?
 


hata kuongea???? hao basi walikuja kwenye harusi kutimiza wajibu - otherwise walikuwa tayari wamegombana walipotoka - I LOVE SMILING COUPLES - mbele ya watu lazima kuonyesha unamjali mwenzio - maswali na majibu bedroom na wala sio hata sebuleni mbele ya watoto - shida ni kuwa kama YESU hayupo katika ndoa hiyo .............shetani anatake chance - NAWAOMBEA WANA NDOA WOTE - MUNGU AWASAIDIE
 
Wamama shida mliyonayo, hamjiamini.. Ukiona mkusanyiko wa watu, ndio unataka ushikwe mkono.... Mbona huko kote mlikopita hukutaka ukumbatiwe? May be umemuona mtu ukawa na wasiwasi nae kuwa anakuibia, ndio unalazimisha ukumbatiwe.
 
 
haya mambo si ya kuyalalamikia sana. mimi nadhani wewe mwenye mpenzi unatakiwa umuelewe vema mpanzi wako. hakuna kanuni ya moja ya kufuatwa, kila ndoa ina mambo ambayo nyingine hazina kwakuwa kila bina damu ni yeye , hivi muungano wenu ni pekee. mimi huu ni mwaka wa kumi ktk ndoa yangu, sioni taabu kushikana, kufuatana na mke wangu popote, hiii siyo kipimo pekee cha kuwa niahandle ndoa ipasavyo.
wapo ambao hawafuatani, hawakai karibu mbele za watu, lakini ni watu wanaopendana sana,sana. mwenzio alijitaidi kukushika mkono siku za mwanzo, alikuwa anjilazimisha kukushika mkono, na si kijilazimisha kukupenda, usimhukumu kwa kushindwa kushika mkono, umpime kwa upendo wake. hata wewe kuna usiyoweza kuyafanya kalini si kwakuwa humpendi bali kwa kuwa hujaumbwa kuyatenda.

ashangedele ninaharaka sana,s amahani hata sija proofread maandishi yangu kwakuwa ninamuwai mke wangu hapo nje ananisubiri- ninampenda sana
 

Nadhani home kulikuwa ni vita ya Israel na palestina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…