Wanaume wa Tanzania na romance

wanapenda mapenzi kama ya picha za kihindi....
 
kwa kweli ndoa ngumu, mie kuliko nitoke na mwenzangu niyafanye hayo ni bora nictoke kabisa, na nikiamua kutoka hata kama nina hacra nitaivumilia nisiharibu mtoko then hayo m engine yataendelea badae.....nyumba hizi khaa.

Nyama maoni yako hadi yananipa mvuto wa kutuma posa, bahati mbaya hakuna mitala ya wanaume,haa haa haaaaaaaaaaaaa (JK)
 

timbwili timbwili la asha ngedereee tukutuku
 
Jamani romance hizi romance jama taratibu hisije ikawa picha la kihindi sterling kafa kwenye maua picha the end yaani tuangalie
 
Naona watoa maoni wamezeeka! Kwetu sie vijana mambo bul bul, kama we unampenda mwenzi wako uko huru kumshika mkono na kufanya chochote (kisichovunja sheria) Tena nyie mnaojiskia noma kweupe ndio wanafiki wenyewe, halafu au ndo mnangojea giza au umeme ukatike, aisee hadi giza mambo ya long time aisee! Ni dalili za kuzeeka na uongo!
 
Tukubali tukatae mapenzi yananoga yakionyeshwa kwa vitendo. Mtu ukae na mkeo hata usimwambie I love you assuming that anajua nampenda ni kosa kubwa sana! Tena wanandoa mnamuogopa nani? Kuna vijana wadogo ambao wako kwenye siasa wameoa au wana uhusiano lakini hata siku moja huwezi wajua wenza wao. Najiulizaga hawa hawajaoa au hawajatulia. Yaani wanazidiwa na wazee walioko kwenye siasa kwani tunawajua wake zao. Kuna mmoja tu ambae namkubali, Jerry Slaa. I always see him with his wife in all public occasisions. Keep it up my bro!
 
kweli mkubwa buji,m n mzazi mpya kdogo kwenye haka kamtandao ila napenda kula fleva na wadau mdomdo,hao mabant wanajkuta hawaelew au pande hzo niaje??
 
baadhi ya wanawake wanaogopa kushushuliwa kwani unakuta walishajaribu sikumoja wakashushuliwa so wanakuwa wanyonge japo wanapenda na wanaogopa kuanzisha
Ndugu zangu mnazunguka sana ngoja niwape ukweli wetu wanaume!!
!./Wengi wetu tulijikuta tunaoa kwa bahati mbaya kabisa yani unambebesha mwenzio tumbo then unang'ang'aniwa
2./Unajikuta imekuwa influenced tu hadi unaoa bila kujijua!!
3./ushamba unatusumbua na hatuajiamini
4./Wengi wetu ni vicheche balaa so unakuwa na mkeo sometimes unaogopa hadi vicheche vyako vikiona sijui utajiteteaje!!
5.Mapendekezo:
Nawaombeni wanaume wenzangu tujitahidi kuwapenda wake zetu na kwa wale ambao hawajaoa basi wajitahidi kuchagua yule ambae roho zao zitakuwa zimeridhia na sio kulazimishana au kushawishiana.Mwisho kabisa nigependa tuwe Proud na wake zetu mbele ya jamii zetu!!
Tujiachie jamani na wake zetu sasa ukiona noma/aibu mbele za watu unataka nani akufanyie!!
samahani kama nimewagusa!!mtoa mada BIG UP!!umeongea ukweli mtupu dah!!
 
Tuwapende wake zetu ndugu zanguni!!!kama humuonyeshi mapenzi mkeo je unataka nani ampende!!
 

daaah mi ndo nime log in niandikepost kama hii ila poa ishafika ujumbe... hata sijui inakuaje mie naona tamaduni zetu zina tait iala sio ishu sana coz tamaduni zenywewe ndo kama hivyo zishaanza kupotea mie na prefer mabadiliko.... romance muhimu wazeeee kwana lina leta raha na kudumisha ndoa umeonaaaaeeeeh?
 


dah nimecheka sana. duh ndoa

 
Wife ananafasi ya pekee kuliko ya yoyote yule,ni malkia huyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…