majorbuyoya
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 1,828
- 567
Mimi sioni kitu cha ajabu hapo. Najua hao wamama ambao wenye hela zao( wawe wafanya biashara au wake wa wakubwa) muda mwingine wanakosa muda wa kutulia na waume zao kutokana na sababu mbali mbali. Kuna kosa gani kumpenda na kumchagua kijana ambaye yeye anahisi atamkuna ipasavyo? Kwani kupenda na kuchagua akufaaye nii kwaajili ya wanaume tu?, La hasha!, wanawake pia wanayo nafasi ya kujichagulia wapendacho.
Mbona siku nyngi sana!!???
Wanaume wananunuliwa na kutumika tu sana