Wanaume wabonge na vigari vidogo

Wanaume wabonge na vigari vidogo

Ndiyo maana maendeleo nehi unafuatilia maisha ya mwanaume muda wa kufanyak azi unapata wapi pumbavu kabisa achana na maisha ya watu fanya yako tena
 
Umenikuna unene na kitambi unahadhi yake sitafurahi kama nikimkuta hashim thabiti na urefu wake anakivitz anadrive au le mutuz anakipasso yapo magari yako kama vx,ford,landcruise,Prado yapo magari yakulea vitambi bwana hvyooo vibajaj tuachieni ss
 
Kukosa kazi ni shida. Hivi watengenezaji waliangalia jinsia? Wengi wamejukuna kadri ya mikono yao
 
Pumbavu na mjinga kabisa, unapotafuta hela jifunze kubana matumizi, iwe ni nyumba, gari, nguo,chakula na vingi vinginevyo zingatia kipato chako na si kuzingatia eti wananionaje au wanasemaje. Jiangalie mwenyewe na si kudadisi maisha ya watu
 
1479974662734.jpg
1479974669949.jpg

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mwanzisha thread utakuwa unafanyiwa kale kamchezo ka ommy dimpoz
 
Mxiee wanunulie hayo ya kuendana na miili yao.... MTU anajikuna anapofikia
 
ha ha ha ha ha ,,,,,,,,,,,,,,,unajua kila mtu anapenda nyumba nzuri na kubwa,gari zuri etc ila shida kubwa ni monies mkuu.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Back
Top Bottom