Si hivyo tu. Na ubonge wao, nimeona mara nyingi hata wake zao ni vipotebo, vimiss!Utakuta jibaba,pande ya mtu inaendesha vits, ist,passo. Halafu tinted na yeye kavaa miwani tinted!
Traffic kamateni hao walowezi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]View attachment 438788View attachment 438789
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bora Mimi naendesha bodabodaAcha ujinga wewe, unaendesha gari gani, waliotengeneza magari waliweka size ya watu?
Ndo maana Marehemu Remmy Ongala gari lake akiandika " baba yako analo?"