Jamani wadau hivi ni kweli wamanume tumekuwa wachache kuliko wanawake kiasi kwamba wanawake wanakosa watu wa kuwa nao?
Nahisi member waliotangulia wameshindwa kung'amua ni ipi fact in issue inayohitaji kujadiliwa!!!
...
Blue hapo-
Kwanza ni kweli ke ni wingi kuliko me lakini SIO SABABU ya kufanya wakose wa kuwaoa (vaa miwani) ikiwa utafutwa mfumo unaoendana na hali halisi ya mwanadamu!
...
Apart from that, there many other reasons zinazowafanya ke wakose watu wa kuwaoa!
Jamani wadau hivi ni kweli wamanume tumekuwa wachache kuliko wanawake kiasi kwamba wanawake wanakosa watu wa kuwa nao?
Hahahaha kama huna pochi ndefu wanaweza wasikuhesabu kama mwanaume
na wanawake wa kuoa ni wachache ila mafisi ni mengiwanaume wanaojitambua na kujielewa.. wenye mipango mizuri ya maisha na hofu ya mungu wapo wachache sana. ndio maana tunakosa wa kutuoa maana wengi hamjielewi.
Kwa takwimu ya haraka haraka niliyofanya........mpaka sasa kuna wanaume bil 9. 3 duniani kote.........