Wanaume WAFUPI ni WABISHI na ving'ang'anizi mno

Usiombe apate namba ako alafu upokee simu yake au ujibu hata txt yake moja tu.

Ndani ya dakika 5 unajuta kwa nini aliumbwa mfupi.

Samahani kwa wale wafupi ambao mpo humu.

JIREKEBISHENI
Usitufanyie hivyo mshangazi!Ni kutuonea tu viumbe wa Mungu.🙏
 
Kwa jinsi wanaume tunavyopungua kwa kasi, sijui ukiwatoa na wafupi tutabaki wangapi..?😀
Usiombe apate namba ako alafu upokee simu yake au ujibu hata txt yake moja tu.

Ndani ya dakika 5 unajuta kwa nini aliumbwa mfupi.

Samahani kwa wale wafupi ambao mpo humu.

JIREKEBISHENI
 
Usiombe apate namba ako alafu upokee simu yake au ujibu hata txt yake moja tu.

Ndani ya dakika 5 unajuta kwa nini aliumbwa mfupi.

Samahani kwa wale wafupi ambao mpo humu.

JIREKEBISHENI
Subiri wanakuja
 
Hatimaye tumefikiwa😀
 
Usiombe apate namba ako alafu upokee simu yake au ujibu hata txt yake moja tu.

Ndani ya dakika 5 unajuta kwa nini aliumbwa mfupi.

Samahani kwa wale wafupi ambao mpo humu.

JIREKEBISHENI
Hahaha
 
Back
Top Bottom