wanaume wajibu..

jamii01

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
1,983
Reaction score
1,423
katika pitapita zangu mtaani na kusoma habari nimegundua kunaobgezeko kubwa si wanaume au vijana kuwa ubwabwa(mashoga)haijarishi ameoa au bado..na wengi wao huwa wanafanya kwa siri kubwa na hata kwa Tanzania tatizo linakuwa kwa kasi zaidi tofauti na watu wengi wanavyofikiri..wanaume ambao wamekwisha kuwa na farmilia basi hufanya kwa siri kubwa na gharama kubwa ili kutunza usiri..

Ukienda katika nchi ambazo zimekwisha endelea ndiyo kabisa..hata shetani anakataa si yeye...

Jamani shida kubwa wanaume wenzangu ni nini?na hawa vijana wetu tutawaficha wapi?
 
Hatari kweli!Ila sidhani kama kuna mhusika anaeweza kusema hapa live... na wao ndo wanaojua sababu zinazowapelekea kufanya hivyo mbali na ushetani unaowasumbua!Wengine watalaani tu!
 

Sina uhakika na ukweli wa hili maana hata wewe umesema yanafanywa kwa siri sana, kwa hiyo ni vigumu mimi kujua siri zenu
 

Hivi mwanaume anaanzaje kuwa shoga?
 
hii hatari sijui ni maisha magumu au kuna nini kinachosababisha hali hiyo
 
Yaani kwa kweli hata haijulikani ni kwa nini matendo hayo yanaongezeka kwa kasi katika jamii yetu..
 
Yaani kwa kweli hata haijulikani ni kwa nini matendo hayo yanaongezeka kwa kasi katika jamii yetu..
globalization nadhani, kama watu wapiga game na mbwa na horse itakuwa tigo?
 
Hatari kweli!Ila sidhani kama kuna mhusika anaeweza kusema hapa live... na wao ndo wanaojua sababu zinazowapelekea kufanya hivyo mbali na ushetani unaowasumbua!Wengine watalaani tu!

Lizzy kwani we mwanaume???
 
nina mifano miwili tofaut nimeshuhudia wala siyo siri sana,
1. mwaka jana nilikuwa nafanya kazi kwa wahindi dereve wa bosi ni mbongo huyo mhindi akawa anamwambia amfanyie masage then atampa mshiko kijana kwa sababu ya shida akakubali kummasage kama wiki mbili yule mhindi badae akamwambia nataka ongeza wewe mshahara kama utanisugua na hiyo dudu yako knye ******* naongeza wewe mshara mara 3 jamaa hakuelewa akamwambia unatka nikuf*** mhindi akasema ndio lakini mtua asijue, mshikaji kutokana na mshahara ulikuwa mdogo 150,000 kwa mwezi akakubali kupata 500,000/= kwa mwezi. mashart kila wiki lazima akamkoboe mara 3

2. Jirani yangu mmoja yeye anawakoboa mapolisi wawili kila wiki lazima waje mmoja mmoja kupigwa mpipi hii huwa naona kila akija unakuta jamaa yuko nje then wanaingia ndani anatuaga anaenda kula mzigo baada ya dak 40 wanatoka, siku mmoja huyo polisi akaja kumbe jama alikuwa hana yale mafuta ya kupaka akamwambia leo sina dawa njoo kesho watu tuaona /tunasikia kweli kesho yake akaja kama kawaida.

mambo yapo sana nasikia ukianza huwezi kuacha
 
halafu watu wanasingizia watu wa pwani.kumbe haya mambo yapo kila sehemu,isipokuwa yanafanywa kwa siri.mimi namfahamu mmoja,alifumaniwa na mke wake kwa huyo m.me mwenziwe,ikabidi talaka itolewe na siri itoke.
 
me huwa naona hata kuongelea ushoga tu ni dhambi,huh
 
Tena Majuzi naye Obama kasema ushoga si kosa na ni haki ya kibinadamu!!!
 
Kwa manaume anayekubali kuguswa nyuma/mk***u wakati anafanya mapenzi mpenzi wake wa kike tafiti zinaonyesha hata akipata mwanaume akamgusa huko atafurahi nakuachia kila kitu atendewe na mwanaume pia.Na matokeo ya kuguswa nyuma mbele huwa hakusimami.Enyi wa kike angalieni wapenzi wenu kama ankuwa hasimamishi vizuri jua anataka kuswa nyuma ndipo mbele kuitikie wito.Fani yangu imelichunguza hili kwa upande wa hospitali wafikapo watu hawa.
 
 

em tuthibitishie madai yako.kama ni risech umefanya wap?? umeintaview watu gani, umri gani, uelewa gani, interest gani, n.k!!
 
Japo kuna watu niliosikia na hata mdada mmoja kumkimbia mmewe kwa kumkuta mmewe chumbani kwake na mwanaume, lakini sikujua kuwa limekuwa tatizo kubwa la vile.

lakini nadhani ni kwasababu ya kupenda pesa tu!! Unajua ugumu wa maisha, na watu wanataka pesa, halafu wanunuzi wapo, basi mtu anaingia popote tu, baadaye anapotea kabisa kwa kunogewa. Ni kama bangi au unga tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…