Wanaume wakibongo kwenda nje ya ndoa.

Nadhani itakuwa sahihi zaidi ukisema kwamba hata wanawake wa kiafrika na hasa wa kitanzania (sio wote) wanakwenda sana nje ya ndoa zao. Hili lina -apply kote kote

aisee hapa nakuunga mguu,usipoanza wewe ataanza yeye,sasa sijui tufanyeje:hand:
 
msisumbuke na maisha artficial ya mange,demu akitoka kwenye njaa na ukahaba na mara ghafla anaingizwa kwenye maisha ya kupelekwa dinner na kukaa apartment badala ya uswazi lazima atakuwa hivyo.ndio maana kila kitu anahangaika kuwawekea picha muone,i think watu anaokua nao around wanabaki kushangaa.in group dinner au hata na mumeo au na family ya mumeo msosi unakuja mezani unakimbilia camera kupiga picha show up inahitaji moyo.
mwache akazane akikua ataacha tu.
 
Hivi ni kweli mkuu!!?
 
Joyce na babake mkubwa

:A S 13:aaaaaa,so Joyce anatoka na baba yake mkubwa,wanafanya tabia mbaya eti shosti eee?
labda hakupata mume kama mimi.....:wink2:.....:hand:
 
:A S 13:aaaaaa,so Joyce anatoka na baba yake mkubwa,wanafanya tabia mbaya eti shosti eee?
labda hakupata mume kama mimi.....:wink2:.....:hand:

hahahaa labda maana hawa kaka zetu nao,wanakula sana 😛izza: ukichanganya wakorofi watu wanaishia na baba zao wakubwa.
 

Tembea ujionee.
Tena hao caucasian husbands ndio siku hizi kama wamenogewa kucheat, maofisini, makanisani etc.
Ukiishi bongo mtazamo wako towards wazungu utakuwa tofauti sana na mtu alieishi/anaeishi ughaibuni.
Men are just men. Awe bantu, caucasian, asian, latino etc character ya mtu inategemea na mtu binafsi na sio race.
Huyo congressman wa New York nae aliefumwa kwenye Craigslist wiki iliopita nae ni mtanzania?
 
hujui macelebrity wa u-turn?
joy na husband

pretending millionaires:A S 13:

mi namjua tu Mange na Lowrey na mwana wake jamani,hao wengine siwaangaliagi sana.....duh,hivi JF kuna wazungu?? nianzishe thread yangu nataka mwanaume wa kizungu,umri woowte mradi awe anaweza nipa mtoto kama Kenzo na kuninunulia Range na kuninunulia nyumba ufukweni.....mengine nitavumilia mwenzenu?????kama kuna mzungu ani-PM jamani.....ha ha ha ha ha....nasubiri wadhungu...l.o.l
 
hahahaa labda maana hawa kaka zetu nao,wanakula sana 😛izza: ukichanganya wakorofi watu wanaishia na baba zao wakubwa.
he he hee,wanakomba wanakombeleza mpaka ukoko,ila msitukimbie bana huko mnaenda nako kuna moto,maana mpaka mkitafute mukiamshe kile kidubwasha cha huyo bwana mweupe hapo kunakucha,mkikipata hakifikii dole gumba
mwisho mnatuletea zambi tena na hivyo vidude vyenu visivyoisha hamu.
 


Thanks mkuu,nipo tayari muda tu....sijasema hao wengine hawatoki nje ya ndoa,nawaona wakitoka ila nilichosema,si sana kama nyumbani Africa!! na ukiishi ughaibuni mtazamo wako utakuwa tofauti sana na kuhusu waafrika,from my experience.....kila mtu aamini anavyoamini,mimi hunibadilishi kwenye hilo!!!:hand::hand:
 
yupo mmoja anaitwa shabani,anaongea kiswaz wewe mwenyewe umesingiziwa.usishangae akikuomba hifadhi hata kama kijijini poa tu ataishi.
 

wengine tunapenda vidogo kuliko dole gumba,vina raha yake ati.....mimi hii mitarimbo wala siipendi.....l.o.l:hand:
 

hahahahaaaa babu k unakesi nimepaliwa,chanzo wewe....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…