Wanaume wakirudi kutoka hija wanaitwa alhaji ..wanawake??

Wanaume wakirudi kutoka hija wanaitwa alhaji ..wanawake??

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Samahani kaka na dada nijulishen hili
wanaume najua wakirudi wanauitwa alhaji pdidy wanawake wanaitwaje??
 
Hajat,
refer yule mama wa takwimu alokua anasimamia sensa
 
Kuna upendeleo, mfumo dume ipo siku wakijitambua wataandamana, mwanamke ni chombo cha starehe akizeeka unamwolea mjukuu wake na kumwambia mke mwenzio.
 
una maswali mangapi na muda wa mtihani masaa mangapi? wahenga hawakukosea waliponena "NYANI HAINI KUNDULE"
 
by the way, jibu lilikariri kimakosa kutokana na net yangu inanisumbua...
 
Anaitwa mchungaji makondoo au paroko au kasisi au padiri au papa au Mwinjilisti
Muhubiri au sister ( kwa kiswahili) sijui anaitwa dadaa
Na pia kuna mabrother hao kazi zao sizijui

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Anaitwa mchungaji makondoo au paroko au kasisi au padiri au papa au Mwinjilisti
Muhubiri au sister ( kwa kiswahili) sijui anaitwa dadaa
Na pia kuna mabrother hao kazi zao sizijui

:cheer2: Unajua unachokinena!!!!!?
 
Anaitwa mchungaji makondoo au paroko au kasisi au padiri au papa au Mwinjilisti
Muhubiri au sister ( kwa kiswahili) sijui anaitwa dadaaa.
Na pia kuna mabrother hao kazi zao sizijui

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

When a heart is on fire, sparks always fly out of the mouth.

Je kwa wale wanaokwenda kwa nafasi za upendeleo kama vile kwa kuwa ni mahawara wa wakubwa tunawaitaje?
 
Zero akufumania majibu ya mtihani utamjua, atajibu swali hilo hilo moja mara 7.

Haya umepata, makofi kwa zero...!!

Swali la pili: Mwanamke uliyemuoa kisha ukamuacha, ikabidi aolewe na rafiki yako halafu aachwe na wewe umuoe tena anaitwaje?

Kwani we ni POLISIIII!?????
 
Back
Top Bottom