wanadai eti sisi waswahili waongo.Mkuu hivi hii ni fasheni au nini? Binti wa Kiafrika. Mrembo. Ana kila kitu. Sasa inakuwaje? Wanaume tumeshindwa kazi?
kama bishanga,au vipi?wanasuka mno siku hizi, hata hivyo bado wapo wachache.
kama bishanga,au vipi?
wanadai eti sisi waswahili waongo.
Ila experience inaonyesha kuwa wengi wakishaolewa na watasha baadae wanatafuta kabongo kaserengeti maana wanadai wazungu 6x6 ni dhaifu!
usijidanganye mkuu, kuna uhusiano mkubwa tu!
I am speaking of my certified knowledge.......unless you narrow down to erectile impotence sir
Hebu funguka sasa tuanze uchambuzi
sababu zinazotajwa kuleta ugumba kwenye hiyo ripoti ndio hizo hizo zinazopunguza urijali mfano: "joto kuzidi katika sehemu za siri za mwanaume, kubeba laptop, unene kupita kiasi na mazingira" - Utafiti: Nusu ya wanaume nchini wagumba
kesho nisindikize basi twende arusha,kuna mtu nataka nimuone.he he he, wewe umeshabaki masempele utaweza nini?
Kama kweli uko interested na haya mambo tanua literature na uone the variation and discrepancy existing from developed to LDC's; Rural and urban.......Europe, America na the rest of the World
Amazingly waweza kuta hii mambo ni regional and context based na ngumu sana kuwa-generalized
Mkuu kwani wewe ulikuwa unafanya nini hapo mpaka uje utuulize tuko wapi? Mimi binafsi sikuwapo hapo, othewise huyo mdada angepata rafiki mwingine wa kiume...Hujaelewa nini? Kama tupo kwa nini wanachukuana wenyewe kwa wenyewe?