Na bora niwe sipo, nikija kuwepo kama wewe sitazubaa, ntawacharaza wote wawili kwa mkuyati :biggrin:
Kiswahili kigumu kama umesomea juu ya mlima wa kilimanjaro, wasagaji wamejitokeza sababu wanaogopa mikuyati.mbona huelewi kiswahili, haupo popote, ungekuwepo kusingekuwa na wasagaji hapo jirani na unapoishi - hata hilo hitaji la kutumia mkuyati ni dalili na kithibitisho tosha kuwa wewe kama mwamaume haupo, 'you are absent as a man there!
Mimi sijasema wasagaji hakuna lakini usiseme wanaume wako wapi ni kosa...Usagaji ni tabia ya mtu wala haihusiki na wanaume.wewe mbona kuna wasagaji hapo jirani kwenu, hawakuoni mwanaume nini au wanadhani uko sawa tu na wapenzi wao wa kike?
Ki vipi isiwe kali, unacheza na mlima wa kilimanjaro nini...Yani ukisha panda juu kabisa lazima utawaona ma lesbian tu, huwaoni wanaume...Kwa hio weka akilini watu wanakuwa ma lesbian by choice sio kuwa hamna wanaume :biggrin:du hiyo kali!
Ki vipi isiwe kali, unacheza na mlima wa kilimanjaro nini...Yani ukisha panda juu kabisa lazima utawaona ma lesbian tu, huwaoni wanaume...Kwa hio weka akilini watu wanakuwa ma lesbian by choice sio kuwa hamna wanaume :biggrin:
Si nimesha kueleza wengine wanaziogopa sorokoto :biggrin:choice siku zote ina reason
Hapo tuko pamoja...SABABU lesbianism is a political choice, haihusiani kabisa na wanaume :biggrin:tabia husababishwa na kitu fulani
....nikajisemea moyoni kwa uchungu, kweli wanaume tumekwisha duniani!
Unaweza fafanua hapo kidogo? Wanaume wamekwisha kivipi?
Ndio na mimi namshangaa... kwani kaambiwa lesbians are lesbians because there are no men?
kesho nisindikize basi twende arusha,kuna mtu nataka nimuone.