Vipi na wanaume ambao ni gays? Ina maana wanawake nao hawapo kikazi - wapo likizo ya kiaina (AWOL) hivyo wafanyakazi mbadala wamechukua nafasi yao? Kama wanaume walaumiwe kwa wanawake kuwa wasagaji, basi si wanawake walaumiwe kwa wanaume kuwa mashoga?
Halafu kwenye usagaji kuna watu wawili: masagaji na msagwaji? Wanaume walaumiwe kwa mwanamke kuamua kuwa msagaji, msagwaji or both?
you are being too philosophical, unasahau kuwa wanaume kuwa mashoga nayo ni sehemu ya wanaume kuwa AWOL.
Tumekuwa conditioned kuamini kuwa heterosexual relationship ni kitu ambacho ni normal simply because it is more commonly seen. But what we need to think about is whether the less common things in life can be dismissed off as abnormal?
Kwa nini wapo watu ambao huwa na hasira sana? Kwa nini watu wengine wana aibu sana? Why are some people agitated all the time? Kwa nini watu wengine ni mashoga? The answer to any question dealing with human behaviour is a complex one, a combination of nature and nurture. Looking for a simple answer is fultile.
May be you should have gone a bit deeper na kumwuliza kama yeye ni msagaji au msagwaji na ni kitu gani kimemfanya mpaka akaamua kuwa hivyo.
falsafa za anti-heterenormativity hizo, nakuambia walikuwa na wanaume wakaona wanaume wao ni awol
Walikuambia sababu ya kuwa msagaji/msagwaji ni kwa sababu waume wao walikuwa awol?
Can heterosexual person truly know what a gay person's experience of his/her sexuality is?
Can we really know what determines a person's sexuality?
Nikisema wapo wanawake wanaosema ni wasagi ili kuepuka kutongozwa ovyo utakubali?
Vipi na wanaume ambao ni gays? Ina maana wanawake nao hawapo kikazi - wapo likizo ya kiaina (AWOL) hivyo wafanyakazi mbadala wamechukua nafasi yao? Kama wanaume walaumiwe kwa wanawake kuwa wasagaji, basi si wanawake walaumiwe kwa wanaume kuwa mashoga?Halafu kwenye usagaji kuna watu wawili: masagaji na msagwaji? Wanaume walaumiwe kwa mwanamke kuamua kuwa msagaji, msagwaji or both?
omg! naweza kusema ilikuwa ndoa ya kujilazimisha ili kuepuka maneno ya watu. ni vigumu dada kuswitch kutoka kutamani mwanaume na kutamani mwanamke mwenzie, nadhani alikuwa na hisia kwa mwanamke tokea mwanzo, akajaribu ndoa kuona kama atabadilika, akashindwa, sasa amefuata moyo wake. kama karidhika na huyo dada mwingine then huo ndio ukweli... Angekuwa straight basi angejitafuta mwanaume mwingine atakemtunza na kumjali na sio mdada.umejitahidi ila nakuambia hapa kuna mama wa watoto wawili kaachika baada ya ndoa ngumu na mumuwe sasa yuko na mwanamke mwenzake na wanazimikiana kichizi wala hakumbuki hitaji la mwanaume, enhe anafiti namba 1 au 2?
hahha boss mie nakupa ofa na rafiki yako yoyote wa kiume....lol
Aisee hili suala unalielewa kwa undani sana, wengine wanabisha tu na kuleta siasa bila kuzingatia hali halisiNimeuelewa vizuri uzi huu......
Naomba ifahamike kwamba mwanamke kwenda kwa mwanamke mwenzake hafuati ngono tu huko, kuna kitu anachokifuata ambacho wanaume wengi wanashindwa kuwapatia. This is not abt money, honest or gentlerism, we kaa tu na uanamume wako na pesa zako ila wanasepa tu......
Kuna vitu huko wanavyofanyiana ambavyo ni vigumu kuvipata toka kwa wanaume, umeshawahi kuona msichana aliyeingia kwenye ulesbia akatoka huko? Jibu Hapana, WHY is that?????
Let start change from us, ndipo baadae tujiulize inakuwaje wanawake wanaenda kwa wanawake wenzao ambao hata uume hawana.
HALI HALISI:
Wengi ya wanaume wanazani mapenzi ni kusex tu, ngali hata huko kusex kwenyewe hawajui, mapenzi ni kila kitu kinachokuzunguka wewe na mpenzi wako.
Wanajamii naomba niishie hapa.
what do you mean one room The boss,if you mean hole you can choose your own hole and avoid sharingtwo dicks in one room ni taboo kwetu...
omg! naweza kusema ilikuwa ndoa ya kujilazimisha ili kuepuka maneno ya watu. ni vigumu dada kuswitch kutoka kutamani mwanaume na kutamani mwanamke mwenzie, nadhani alikuwa na hisia kwa mwanamke tokea mwanzo, akajaribu ndoa kuona kama atabadilika, akashindwa, sasa amefuata moyo wake. kama karidhika na huyo dada mwingine then huo ndio ukweli... Angekuwa straight basi angejitafuta mwanaume mwingine atakemtunza na kumjali na sio mdada.
my mistake, i do that to avoid giving hints about myselfUnabahatisha
ilikuwa ndoa ya kujilazimisha ili kuepuka maneno ya watu. haiwezekani dada kuswitch kutoka kutamani mwanaume na kutamani mwanamke mwenzie, alikuwa na hisia kwa mwanamke tokea mwanzo, akajaribu ndoa kuona kama atabadilika, akashindwa, sasa amefuata moyo wake. Mwanamke straight angejitafuta mwanaume mwingine atakemtunza na kumjali na sio mdada.
Kuna mhubiri mmoja alihuburi Where are all the Men? sasa naanza kumuelewa, tatizo ni sisi wanaume - hatupo, tumeshindwa kazi, hivyo wanawake wanatafuta mbadala miongoni mwao wenyewe!
Sijui kama ni tatizo la perfomance kwa upande wa wanaume imeshuka
ama kuiga life style za kigeni..
sijui tatizo ni nini hasa..