sijaelewa, fafanua plz
Kwa kuwa uko "In The Closet' basi unadhani hiyo ndio sababu ya hao kina dada pia
Wanaume wengi huku uswahilini performance yetu iko juu, na ushahidi ni Diamond anavyotuwakilisha vizuri. tatizo kina dada wanawapenda watoto wa geti kali masaki na huko uzunguni. Wanashindia barger...performance ya burger itatoka wapi...waliogundua burger wakaenda mbali zaidi kugundua viagra.
hahahahaha u made my day ....
Ndahani bana si nyie ndo mnakula Burger matokeo yake 6 x6 mamboyanakuwa bla blaJamaa amepiga ikulu
Ndahani bwana ongea pole pole ..haroooo.Mi burger wapi na wapi...ila nakwambia siri usimwambie mtu mwingine yeyote...never try me at home!I will cause a huge damage
poor you!
how?
people are nowdays free to do anything they wany/wish/like as long as they don't disobey/break the laws/rules.
1. what about those gays?
2. are u aware of the homosexual/single sex marriage? its coming in africa, surely am telling u
3. u were (with ur pastor) required to do a research as to how come people(however few they are) prefer single sex than heterosexual?
just thinking
Wanaume wengi huku uswahilini performance yetu iko juu, na ushahidi ni Diamond anavyotuwakilisha vizuri. tatizo kina dada wanawapenda watoto wa geti kali masaki na huko uzunguni. Wanashindia barger...performance ya burger itatoka wapi...waliogundua burger wakaenda mbali zaidi kugundua viagra.
Kwa kuwa uko "In The Closet' basi unadhani hiyo ndio sababu ya hao kina dada pia
Profile yako inasema hivi:
Join Date : 11th January 2012
Location : In The Closet
Posts : 50
Rep Power : 329
Likes Received18
Likes Given0
nimeelewa sasa, yes, huyo dada alikuwa closeted kama mimi kwa hiyo kuepusha soo akaolewa.
Kwahiyo you draw your conclusion on a single case? leta na idadi ya wanawake walio weza ku-replace wanaume na mwanaume mngine halafu ndio tufanye comparison.unadhani ee, endelea kudhani
ps. No one could replace Corins tragic hubby so she became a lesbian - Big Brother housemate became a lesbian after her husband’s early death | The Sun |Showbiz|Big Brother
nimeelewa sasa, yes, huyo dada alikuwa closeted kama mimi kwa hiyo kuepusha soo akaolewa.
Kwahiyo you draw your conclusion on a single case? leta na idadi ya wanawake walio weza ku-replace wanaume na mwanaume mngine halafu ndio tufanye comparison.
Madiliko ya sasa hivi yanaenda haraka to an uknown direction. Jaribu ku imagine miaka 25 ijayo, although next time ukikutana nao usiishie kwnye "Salale!!" Waombe wote wawili uwajoin, ama wakujoin which ever works.
Kazi za 6 kwa 6 za za hivi na za zamani zimetofautiana ndio, labda kwa sababu ya aina ya vyakula lakini wanaume siku hizi tuna jikuta tuna misongo sana ya maisha, mda mdogo wa kupumzika, mazoezi haya mambo ni ya kushirikiana zaidi kuliko kunyosheana vidole.
tatizo sio wanaume!!!!! Tatizo ni wanawake na ushetani wao!!! Tamaa zinawamaliza...ukimtokea..anakugeuza baba ake nani anataka kuhudumia kila siku, unless sio mkewe wa ndoa!!! Tunawakimbia maana mmejaa kero..hakuna cha tulizo tena..Mungu aliumba mwanamke ili awe tulizo kwa mwanaume...kifikra na kiroho pia..lakini shetani ameweka tamaa mioyoni mwenu ili kubadili kusudi la Mungu, na kugeuza uwepo wa wanawake kama mtaji kwao..
what are talking about! i'm not in denial and although i haven't told the world, i don't have relations with women just to cover up either...denialism yako unai-generalize to her wakati ukweli ni kuwa alipewa penzi moto moto na mwanamke mwenzake baada ya kuvurugana na mume wake basi akaona kha kumbe sisi wanaume ni michosho tu, tume-abdicate responsibility yetu!