But hukujibu maswali yangu ulisema I was being too philosophical. Ninavyoona, you have already made up your mind na hata tukidebate you will just rubbish the arguments against yours. But uzuri wa JF: kama ulitegemea [maoni] in one dimension hapa jf utapata in three dimensions – source -
Edson.
Nikirudi tena kwenye argument yako kuwa "wanaume tumekwisha duniani" najaribu kulinganisha na argument yako kwenye thread yako nyingine kuwa "Pamoja na kupinga ukatili wa mfumo dume ukweli ndio huo, ili mapenzi yafanikiwe lazima ubaba uongoze. Na tunapoongelea kutoa tunaongelea pesa - bila fedha penzi linakuwa mahututi na mwisho wake ni kufa tu. Pesa posa"
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/245924-umuhimu-wa-mfumo-dume-ubaba.html
Inawezekana labda "wanaume tumekwisha dunuani" kutokana na kuanguka kwa mfumo baba, which to you means pesa imepungua, because bila pesa penzi linakuwa halipo na mwisho wake ni kufa tuu. "Pesa posa", otherwise wanawake wengi watakuwa wasagaji.