Wanaume waliowahi kuolewa au kufungwa Na wanawake

Wanaume waliowahi kuolewa au kufungwa Na wanawake

DJ SEPETU

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
8,413
Reaction score
12,336
Wapenzi mambo!

Katika maisha yangu niliwahi kupendwa Na dada mmoja pale makao makuu ya nchi yetu! Dodoma!

Nikiwa mwanafunzi Wa Udom
Alikuwa ananipa kila kitu kuanzia
Chakula mavaz matibabu pocket money Na mambo kibao kiasi kwamba sikutegemea boom kabisa!
Niligeuka saccos kwa marafiki zangu niliwafadhili sana!

Ilifikia kipindi nilihama chuo hostels Na kuhamia nyumbani kwake!
Alikua mtu Wa bata sana kila weekend tupo club maisha club au club 84.

Kwao nilijulikana hadi kijijini Na aliniamini sana!
Alikuwa Na maduka 2 ya nguo Na saloon ya kike ya kisasa Wateja wake wakuu wakiwa waheshimiwa!

Siku moja akaniambia Mali zote hizo
Zimetokana Na mbunge mmoja ambaye anatumika kisawa sawa!
Nakumbuka siku moja alisafiri kwa tren hadi kigoma kwa mtaalamu!
Ili kumdhibiti vizuri mhe.

Wanaume wenzangu wanao lelewa au waliwahi kulelewa Na wadada au majimama tupeni story pia faida Na hasara zake!

DJ sepetu
 
Faida kwangu ilikuwa maisha yalikuwa mteremko sana
Hasara ni kuwa taaluma yangu iliyumba sana

DJ sepetu
 
Mimi nakumbuka chuo kulikuwa kuna manzi anasoma wakat ni mfanyakazi wa bank basi alikuwa ananitoa sana.

Mm maisha yangu yalikuwa magumu maana hela napewa ya mwezi na dingi kwa pamoja yani mfano nkiipata ijumaa nakula bata nkiamka j3 hata hela ya chai sina nakuwa naishi kama nipo vitani lkn nlivyokuja kumpata yule dada mambo yalikaa vzr tatizo tu kuhudumiwa na demu kunakufanya ukose uhuru fulani

Mungu amuongezee kwakweli.
 
Kweli mkuu huwa ni msaada sana hasa ukiwa bado unapiga kitabu pia unaweza ukatoka Na mtaji Wa biashara!
Of course mm kianzio cha business nilikitoa kwake!

DJ sepetu
 
Haya tupe faida Na hasara

DJ sepetu
Faida kuu ni kutokua na stress ya mahitaji ya kiuchumi.

Hasara
1. Vibao hadharani uvumilie.
2. Uhuru wako ndiyo bai bai
3. Unakua sex machine.
4. Upishi, kulinda na kutunza nyumba ni wewe.
5. Kama Kala Jeremiah alivyosema "Mwanamke hawezi kukutoa labda akupe hela ya pombe, jeans, tshirt na mdosho supra"
 
Me sipendagi ingawa imeshanitokea km mara mbili au tatu lkn I LIKE TO STAND ON MY OWN FEET AND FIGHT TO GET WHATS MINE!

Ugiligili
 
Back
Top Bottom