DJ SEPETU
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 8,413
- 12,336
Wapenzi mambo!
Katika maisha yangu niliwahi kupendwa Na dada mmoja pale makao makuu ya nchi yetu! Dodoma!
Nikiwa mwanafunzi Wa Udom
Alikuwa ananipa kila kitu kuanzia
Chakula mavaz matibabu pocket money Na mambo kibao kiasi kwamba sikutegemea boom kabisa!
Niligeuka saccos kwa marafiki zangu niliwafadhili sana!
Ilifikia kipindi nilihama chuo hostels Na kuhamia nyumbani kwake!
Alikua mtu Wa bata sana kila weekend tupo club maisha club au club 84.
Kwao nilijulikana hadi kijijini Na aliniamini sana!
Alikuwa Na maduka 2 ya nguo Na saloon ya kike ya kisasa Wateja wake wakuu wakiwa waheshimiwa!
Siku moja akaniambia Mali zote hizo
Zimetokana Na mbunge mmoja ambaye anatumika kisawa sawa!
Nakumbuka siku moja alisafiri kwa tren hadi kigoma kwa mtaalamu!
Ili kumdhibiti vizuri mhe.
Wanaume wenzangu wanao lelewa au waliwahi kulelewa Na wadada au majimama tupeni story pia faida Na hasara zake!
DJ sepetu