Ambassador
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 933
- 75
Hamjashtuka tu Pakawa? Ndo maana nasema muwang'ang'anie mpaka wakikaa wanawaza kurudi! Vinginevyo wanyime kama mnajiona kutumiwa. Kumbuka wanawake ni wachache kuliko wanaume, wanaume wengine wanatekeleza jukumu la kusambaza huduma ili hao wanawake wasipitwe!Ambassador hata mpewe vipi bado mtakuwa na visingizio.....wanaume sijui mmeumbwaje? Nyie watu mna roho za ajabu sana mnageuza wanawake ni chombo cha matumizi sijui kwa nini?
hiyo ina apply hata kwenye kutafuta kazi, shule, tenda nk. wakati unaomba unakuwa mnyenyekevu sana ila ukipata una relax its human natureHabari wana jamvi,
Nimekuwa nikipata malalamiko mengi kutoka kwa mashosti eti utakuta mwanaume anamtokea msichana na kumuimbisha sana, mimi nakupenda zinakuwa nyingi, lakini mkishapewa mara moja ndo mnaanza visa, mara nina kazi nyingi nimebanwa, kabla ya kupewa muda ulikuwa mwingi tu wa kuwatafuta lakini ukishampata ndo visingizio vinaanza. Mimi nina saloon na grocery huko ndio huwa wadada wakija kutengeneza nywele au tukiwa tunapata moja moto moja baridi mashosti wanalalamika sana kuhusu hilo. Eti tunaomba mtuambie mmekuaje?
Vitu vingine ukionja ni kama shubiri...huwezi kurudi tena...lakini vipo vingine kama asali utarudia mara milioni....msitulaumu tu wanaume,hata nyie wanawake mna issues nyingi pia
Safina inshu ni kuwa!! wanawake wengi wanakuwa siyo wabunifu utakuta mdada anategemea tu hiyo kitu yake kama mtaji wakunipata mimi na kuongeza life security yake. Hakumbuki kuwa mimi nachotaka ni furaha katika maisha yangu, natakiwa nijisikie vizuri zaidi nikiwa naye na kumuona ni muhimu kuwa naye muda mwingi. Kingine wadada wanarely mno kwa wanaume!! Mi nilikuwa na kitu changu yaani hadi raha nikitaka muda wowote napata, no complication na yeye akitaka nampa. Mizinga siyo lazima ila akinifuma ninazo nampa namimi nikichacha nampiga mzinga vile vile!! life linakuwa siyo gumu sana maana mtu kama unapata taabu kuzichanga inakuwa ngumu hata kuongeza mzigo (Tegemezi).
Wadada wengi wanakuwa too much tegemezi siku hizi, ila naona saizi wanabadirika kidogo kodogo ambapo bado ni wachache.
Thanks for the post.
Sometimes ufundi nao tatizo....! Unaweza kumuona demu bomba kishenzi, ukifunua sahani unakuta chakula chabaridi halafu hajui ufundi! Kwa hivyo unazuga tu na kuanza kuimba "this country bwana is very poor"
Hapo inakuwa bye bye tena!
ambassador hata mpewe vipi bado mtakuwa na visingizio.....wanaume sijui mmeumbwaje? Nyie watu mna roho za ajabu sana mnageuza wanawake ni chombo cha matumizi sijui kwa nini?
Wanawake wananishangaza kabisa! Kwanza wanajiuza wenyewe, alafu mwisho wanataka tukae na huyo mmoja!! That is crazy! Na hata mkijaribu kubana vipi, kuna an equal substitute inaliyo tayari kutoa...kwa hiyo ngoma draw!
kwani umechukua muda gani b4 kumpa?
mchunguze fresh b4 aujampa not less than 6mth closely.............yan utajua tu km uyu ni one touch au wa kuhang naye japo kdg....km si kindoa apo badaye
-usikiurupuke kutoa.......km slang ilikuwa kakutokea ijumaa then jumamos ukampa wat do u expect?
na wengneo afta kumpa waanza virungu ooh mimi jamani nmepungukiwa m2 ya .....jaman nataka laki 6...ahhhhhh ata km mimi mwanaume nasepa imediately!!!
wat 2do:
-jiheshimu
-dnt act like goldga
-take tym b4 aujampa
APO KDG ITAPUNGUZA KUGUSWA NA KUACHWA
vce vesa na apo ni utafunuliwa na kufunikwa km sahani ya bakhresa.
wape pole mashost ao.
NAWASILISHA
I wish mambo yangelikuwa hivyo....siku hizi mbona watoto wa kike ndio wako moto kuliko wa kiume? Kugawa sio issue kama tunavyoielezea hapa.Inachekesha sana , kama ndo hivyo inapaswa wanyimwe au wazungushwe mpaka wakate tamaa :A S 112: