Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,236
- 1,411
mnaweza kuwa ni couple mko out lakini asichangie hata centi hata kama wote mnapiga job!Angalia tunavyowapa lifti lkn mwanamke hata siku moja akupe lifti labda uwe jirani yake au mfanyakazi mwenzie
hata katika mambo ya kawaida wanawake wanaongoza kunyanyasa watoto wa kambo,bosi akiwa mwanamke mtaipata atawapigisha kwata ili mjue yeye ni nani!Wanaume wanatoa sababu wanatumia pesa kama silaha ya kutongozea. Wanawake wanatoa only kama ni lazima kutoa na kwa kiasi ambacho hakiharibu mpango wa nyumbani ili kesho familia yake isijikute katika watu wanao onewa huruma
kaka umenena,na hapo ndipo huruma lina pata maana Hakuna mwanaume mwenye Huruma kama YESU KRISTO !mi nammjua mwanaume mmoja tu aliye na huruma ..mtanashanti mpole..ana sifa zote ila kubwa ni upole.......kijana huyu ni kipenzi cha wengi na hata ukikutana nae nae hutaacha kugeuka....na usiombe huyu kijana akupe maji...hutaona kiu tena ..na kijan huyu ndiye pekee anauejua thamani ya maisha yako... hakika kijana huyu ndiye anayejua hata salio la siku zako...hana makuu...akikupenda kijana huyu huwa hana tabia ya kutoa kasoro kama walivyo vijana wengine...jmpokee leo uone utakvyokuwa kiumbe kipya...huyu mwanaume hana mfano wake.... huyu mwanaume aliacha enz na kila kitu na akakubali kufa kwa ajli yako .....huyu ndo mwanaume mwenye huruma jina lake ni YESU KRISTO