Eversmilin Gal
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 778
- 269
utajisikiaje ukigundua mke wako hakuamini tena na kama ndo hivyo upendo umeshuka kwa sababu labda umefanya mambo fulan baadhi ya hayo Ni:unarudi late saa 8 saa 9 au pengine asubuh
Kwenye walet yako umeweka picha ya mwanamke mwingine
Hutoki naye
unaonekana sio mwami
halafu utachukua hatua gani kama ikikuuma
Kwa hiyo utaendelea na huyo wa njeUkianza kufanya hivyo huyo mwanamke atakuwa amekukifu/kinai huyo wa nje ndo analipa
halafu utachukua hatua gani kama ikikuuma
Kwa hiyo utaendelea na huyo wa nje
kwa maana hiyo itabidi umpe mkeo talaka ili huyo wa nje anayelipa uhalalishe au?Ukianza kufanya hivyo huyo mwanamke atakuwa amekukifu/kinai huyo wa nje ndo analipa
kwa maana hiyo itabidi umpe mkeo talaka ili huyo wa nje anayelipa uhalalishe au?
utajisikiaje ukigundua mke wako hakuamini tena na kama ndo hivyo upendo umeshuka kwa sababu labda umefanya mambo fulan baadhi ya hayo Ni:unarudi late saa 8 saa 9 au pengine asubuh
Kwenye walet yako umeweka picha ya mwanamke mwingine
Hutoki naye
unaonekana sio mwami
yaani urudi saa tisa usiku kufanya nini?
Bora kwenda kazini moja kwa moja.
Na sifanyi chochote kwa mke wangu sababu nitakuwa nimemchoka sana.
Mungu akubarik kwa maneno yako yenye hekimaNi jambo baya mume kutokuwa unaaminika nyumbani na ni jambo baya zaidi kufikia hatua ya kubeba picha za wanawake wengine kwenye wallet. Binafsi yangu sitamani kumfanyia hivi mke wangu hivi na ni vyema kila mume kustruggle kuondoka na hii hali.
utajisikiaje ukigundua mke wako hakuamini tena na kama ndo hivyo upendo umeshuka kwa sababu labda umefanya mambo fulan baadhi ya hayo Ni:unarudi late saa 8 saa 9 au pengine asubuh
Kwenye walet yako umeweka picha ya mwanamke mwingine
Hutoki naye
unaonekana sio mwami
utakuwa umevuna ulichopanda, we vituko vyote hivyo unategemea aendelee kukuamini!!, hapo amua moja, kujirekebisha au kuvunja ndoa uendelee na huyo wa nje..., (bt the second option sounds crazy to me)utajisikiaje ukigundua mke wako hakuamini tena na kama ndo hivyo upendo umeshuka kwa sababu labda umefanya mambo fulan baadhi ya hayo Ni:unarudi late saa 8 saa 9 au pengine asubuh