yaani kuna ka ukweli lakini zipo taarifa nyingine zimesahaulika....................chanzo cha kuzini ni kuwa tayari mhusika yumo ndani ya pasua kichwa......................haridhiki na khali iliyopo..................huo ndiyo mwanzo wa yote yale..............kwahiyo pamoja na ngono kumwongezea kizungumkuti lakini hakikuanzia pale kwenye tendo lenyewe..............kimetokea mbali sana...................hili likijumlishwa na mazingira yenywe yakutolea hamu...................basi moyo unakuwa umebebshwa zigo kubwa..................."There shall be no peace for the wicked says the LORD".....................Isaiah 48:22