Wanaume wanaofanya sana mapenzi wabahili!

Demiss,
Wanawake mtatuua kwa msongo wa mawazo. Tukifanya mpaka mchoke, mnalalamika tunawaumiza. Tukifanya kidogo mnalalamika tu wavivu. Tusipofanya kabisa mnalalamika hatuna nguvu 😲😲😲

mshana pitia huku utupe uzoefu (huenda wewe ndio mpare mwenyewe😁😁🙂
 
Mshana atakuwa kakimbia mji, huyo mtoa mada vimbwanga vyake sio mchezo 🤣🤣🤣
 
Demiss, a huwa hamueleweki kama mnataka kusuguliwa sana au kidogo maana ukisuguliwa kidogo unagongwa nje ukisuguliwa sana unalalamika hebu niambie huwaga mnapenda tuwafanyeje kwa utaratibu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…