Bacha wewe umevaa pete ya ndoa?? Kama hujavaa ulipokea ya nini pale kanisani/Kwa RC.
Si ungeiacha hapo kwa padri/mchungaji
Huna lolote wakware utawajua tu Rose analijua hilo?
kumbuka DA, PETE NI ISHARA TU!,
sio kwamba ukiivua basi na ndoa imekufa mama!!!!
Tena ungejua Rose wangu hanaga nafasi na issue ndogo kama hizi,
wallah, wala usingeniuliza hivo!!!!!!!
thamani ya ndoa haijabebwa kwenye pete,
bali kwenye moyo wake!!!!
Ukona pete haivaliwi ujue ndoa ishachakachuliwa hiyooo
Ni kweli wanaume wengi hawapendi kuvaa pete hususan za ndoa,
Nadhani shauri ya ukware ndo maana huwa hatupendi kuzivaa pete za ndoa na hasahasa vijana, ila kwa watu wazima huzivaa muda wote.
Yaani ungejua jinsi pete za ndoa zilivyo dili siku hizi....akina dada wa siku hizi wanapeeeeeeenda wanaume waliovaa pete za ndoa,sijajua sababu ila nadhani wanahisi wanaume waliooa wako serious ktk commitments.
mie automatically toka utoto wangu huwa sipendi kuvaa vitu mwilini kama bangili,heleni,pete au kubadilisha nywele kama mtoto wa kiume huwa naona sipo huru nikifanya mambo hayo kikubwa ninahisi wengi wanavua kutokana na either sio waaminifu kwa ndoa zao au hawapendi tu kwasababu wanaona mzigo mwilini