Wanaume wanaopiga piano guitars niambieni

Wanaume wanaopiga piano guitars niambieni

SIR KHOKHOLO

Senior Member
Joined
Oct 1, 2016
Posts
120
Reaction score
119
Leo nlikuwa na jamaa yangu yeye ni mtaalam wa piano nikawa najifunza na mimi akaniambia hii fani uwe makini ukijua vzuri wadada watakushobokea balaa. Eti ni kweli?
 
  • Thanks
Reactions: MC7
kuna mda siwezi kumlaumu scopion!! kwa people like you scorpion akiwaletea tetemeko lake itakuwa murua kabisaa
 
Another big pumpkin head, with pirton size brained thread🙁🙁

Tanzania ya viwanda tutaiskia karne ya 3000😡😡
 
Msigwa mwanafunzi wako mwingine amekimbilia huku.
 
Back
Top Bottom