Wanaume wanapenda ngono kuliko wanavyopenda wake zao

Mhh!! nilitaka kutetea hoja lakini kwa mwendo huu kumbe wamama/wadada ni hatari zaidi ....
 
ni bora wa dada waka do nje kila apatapo chance kwani akijajua ya mumewe ataona unafuuu kiasi, sisi wanaume si waaminifu hata kidogo huundio ukweli na tusipo badilika tumekwisha........kwishner
 
Kuna theory moja kwenye Uchumi- Consumer prefences/ axioms: axiom of non-satiation, na hii wanaume wengi wana penda kui-apply! -Always prefer a litle bit more ..... of papas!
Lol, am not in that pls.
 
We jamaa kweli ni mkare
kuna theory moja kwenye uchumi- consumer prefences/ axioms: axiom of non-satiation, na hii wanaume wengi wana penda kui-apply! -always prefer a litle bit more ..... of papas!
lol, am not in that pls.
 
Ndio maana wanatembea na mahausi geli, machangudoa, mabaa medi, wanafunzi na kila mtu.
wao wakifanya ngono na mtu haimaanishi kuwa ndio wanakupenda.

Ni kweli kabisa,,, What you see is what you get....

shwali la kizushi...Kwani linapokuja swala la ngono, hapo kwenye red...kwani wao wanatofauti gani na mwanamke ambaye ni HR Manager, Accoutant, engineer etc?????
 
Ndio maana wanatembea na
1. mahausi geli,
2. machangudoa,
3. mabaa medi,
4. wanafunzi na
5. kila mtu.
wao wakifanya ngono na mtu haimaanishi kuwa ndio wanakupenda.

Hapo bold/underlined/red panahitaji ufafanuzi zaidi!
 
Na mawanawake je? Wale ohio ni akina baba?
 
Na mawanawake je? Wale ohio ni akina baba?

NATA, huyu aliye anzisha hii thread hakufikiria upande wa pili. ametaja makundi ya wanawake na mwishoni akasema kila mtu. sasa kwa mtazamo wa haraka haraka wao wanofanya ngono ni wanawake pamoja na wanaume. tena kutokana na maelezo yake inaoneka wanawake ndio wanopenda ngono kuliko wanaume.

Sina uhakika kama kuna masoko ya wanaume, ya wanawake ni mengi tu hapa dar na kwingineko. ukienda ohio, kona bar, jolly n.k utawakuta wanawake wako sokoni. which means wanawake ndio wanaopenda ngona sana....
 
ungetoa vya kuchinja ndani asingeenda nje kuvitafuta, wanaume wanajua kuwa mnatoa vya kunyonga hivyo wanatafuta vya kujinja kwa mabaa medi, wanafunzi, machangudoa, na mahausigeli
 
Ndio maana wanatembea na mahausi geli, machangudoa, mabaa medi, wanafunzi na kila mtu.
wao wakifanya ngono na mtu haimaanishi kuwa ndio wanakupenda.

Ukiwa mme wa mtu; Kutembea na mahausi geli, machangudoa, mabaa medi, wanafunzi au mwanamke yoyote nje ya ndoa haimaanishi kuwa humpendi mkeo. Ni kujaribu kutafuta kile ambacho mkeo hana. Mapungufu ni kawaida kwa maisha ya kawaida!
 

hii ndio dhana potofu inayochangia takwimu za ukimwi ziwe juu kwa jinsia ya kike.bila proof kua mwenzako anatembea nje ya ndoa unaanza kugawa vya kuchinja kama pipi!aisee take care utapotea!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…