Wanaume wanapenda ngono kuliko wanavyopenda wake zao

kudadeki. kwani nini tofauti ya hayo mashimo? au ukienda nje ndio unaingiza shavuni?
Ukiwa mme wa mtu; Kutembea na mahausi geli, machangudoa, mabaa medi, wanafunzi au mwanamke yoyote nje ya ndoa haimaanishi kuwa humpendi mkeo. Ni kujaribu kutafuta kile ambacho mkeo hana. Mapungufu ni kawaida kwa maisha ya kawaida!
 
"WANAUME WANAPENDA NGONO" bado natafakari huu usemi naona haujakaa sawa.
 
embu msituaribie sikukuu bwana huu ujumbe mbona utata mtupu
 
kudadeki. kwani nini tofauti ya hayo mashimo? au ukienda nje ndio unaingiza shavuni?

Tofauti ni kubwa sana. Vinginevyo watu tusingekuwa tunahangaika au kuwa na hamu ya kujaribu wanawake tofauti tofauati kila mara.
 
Mbona unajisema.........asa unayempa huko nje ..........NAYE PIA NI MWANAUME!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ukiwa mme wa mtu; Kutembea na mahausi geli, machangudoa, mabaa medi, wanafunzi au mwanamke yoyote nje ya ndoa haimaanishi kuwa humpendi mkeo. Ni kujaribu kutafuta kile ambacho mkeo hana. Mapungufu ni kawaida kwa maisha ya kawaida!

Wewe umekamilika sana?are you an angel my dia?and dat means unasema its ok 4 ur wife to cheat ukipungukiwa na kitu?.
 
Tofauti ni kubwa sana. Vinginevyo watu tusingekuwa tunahangaika au kuwa na hamu ya kujaribu wanawake tofauti tofauati kila mara.
jeeez!let me spare my comment 4 now 4 the one who posted what you just answered.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…