Sijafanya utafiti wa kina kutathmini kati ya wanawake na wanaume ni kina nani wanawanyanyasa zaidi upande mwingine BUT hypothesis is "wanawake wanawanyayasa sana wanaume" Mwanaume akimpiga mke wake ni indication kwamba hicho kitu ni repetitive baada ya onyo. Wanawake wanarudia sana makosa hasa baada ya kuonywa ili tu kufrustrate upande mwingine. Wanawake hufikiri ili wawe kwenye control inabidi kumfrustrate mwanamme kwa kuwa mwanamme hufikiri logical wanawake humfanya afikiri illogical ili apate loop hole ya kumkandamiza mkewe. Hapa naongelea most of educated couples na sio wale wanaobeba majembe kuni na mtoto begani.