MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
:shut-mouth::shut-mouth:Mjukuu taratibu, babu bado sijalala.
Ferds, Mie kibamia hakipandi hata kama utajua kukitumia.....
Ferds, Mie kibamia hakipandi hata kama utajua kukitumia.....
je, kama ni mtarimbo wa haja na mtu hajui kuutumia, wewe bado utamwitaji huyo mtu?
Lakini DENA kibamia ni realative term....(ili kiitwe kibamia there is other side........)Kimey mie kibamia noooooooooooooo
ni vyema ukijitanbua hasa wewe unafurahia nini na kwa wakati gani so hutasumbuka kuliko kuishi kimbwa kwa kunusa kila harufu mpaka ubahatishe harufu nzuri, big up mamaa DA
hahaha MJ1 sikuwezi kwa maneno jamani na kweli kuna watu wana mitambo wala hawajui namna ya kuitumia
Lakini DENA kibamia ni realative term....(ili kiitwe kibamia there is other side........)
Ndio nitauhitaji maana lazima utagusa pale mahala
sawa mapozi kidogo yakizidi inakuwa kero.....
yah ni kweli kabisa ila kiukweli nimeuliza swali hili kwa uhakika kabisa ya kuwa wanaume wengi ndivyo mlivyo ishawatokea rafki zangu kama wanne hivi na mimi pia mara moja so inaonekana nyie ni zaidi ya sisi tunavyodanganya,its ok nimekupata ferds
We Maty wewe taratibuuuuuuuuuuuuu watoto hawajalala bado?
We taratibu mie wangu hana kibamia nina miaka 11 nae na watoto 3 sihitaji kibamia tena. Ferds taratibu......................
mbona nimekupongeza kwa kuwa na msimamo kuwa hutaki vibamia , huo muendelezo wa statement yangu ni kwa wale ambao hawajui nini kiwafurahishacho c wewe ulie jitambua already bi mkubwa
hili la vibamia kuna watu wanaumia ujue mwe taratibu dena, jamani hapa ni nguvu ya keyboard tu mdada akikupenda kwa dhati we acha tu yote tunayolalamika humu hata hatuyaonagi (mwe wadada msinishambulie kwani uongo)
Tena naona walioguswa Ferds, Kimey na Babu (Asprin) sijui inawahusu au wanawatetea walionavyo????
Hujanigongea thanks lakini!!!!! Lakini kwani na wewe unakibamia samahani usichukie maana kama imekuuma vile au?
Case :closed_2: Tuonane lunch....:shut-mouth::shut-mouth::A S 103: