Wanaume:wanawake tunataka ubavu wetu!

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,274
Reaction score
6,595
Kabla Mungu hajamuumba Eva, adam alikua akiishi
maisha yake fresh tu, ila Mungu alipoona ya kuwa
si vema mtu huyu akikaa pekeyake hivyo basi
nitamfanyia msaidizi wake wa kufanana naye ndipo
Mungu akamlaza adam usingizi mzito kisha
akamtwaa UBAVU WAKE WA KUSHOTO na kisha
akautumia kumuumba EVA
Sasa Leo wanaume tunapowatongoza mademu sio
kwamba tunawakubali saaana au kwamba hatuwezi
kuishi bila wao HAPANA
Ukweli ni kwamba tunapowatongoza mademu
tunakua tunafata ule ubavu wetu wa kushoto
uliochukuliwa wakati wa uumbaji laiti kama
mkiturudishia ubavu wetu wa kushoto hakuna
mwanaume atakaewatongoza tena zaidi hata hao
mlionao watavunja ndoa zao na kubaki singo
Sasa cha ajabu tunapowatongoza mademu,
tunapata dharau kejeli matusi nyodo kibao maringo
yani mnatusumbua na wakati tunakua tumeijia deni
letu mnapasa mtulipe tena tukija inabidi muwe
wapole mtubembeleze maana tutakapoamua
kuchukua ubavu wetu kinguvu patakua hapatoshi
Badilikeni mademu kabla hatujaamua kudai deni letu
kinguvu
Mimi Siyo Mtu Wa MchezoMchezo Mkijibu Jeuri
Kwa Comment Kesho Naanza Kuwadai Kimabavu
 
Ha ha ha hyo Kali sasa mtadai mabavu mangapi?mana wengine full michepuko mpk kichefu chefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…