Wanaume/wanawake wa mkoani vs wanaume /wanawake wa dar

Mkuu ukilala itapendezaa sana
Wewe dogo umenifanya nikuonee huruma na majonzi na kikubwa niwasikitikie ndugu zako.

Maana hakuna kitu kibaya duniani kuwa na ndugu alafu kichwa maji.

Mimi naambiwa nikanye wewe una like alafu unakejeri alikuwa mzito..unaweza wewe nguchiro ukanifanyia ivo mimi???

Nawaza kwa sauti ivi wew ni mwanaume? Na kama ndivo ilivo unawezaje kukaa kwenye uzi kama huu na kusukana nywele na hawa viumbe??.

Unawezaje kukaa na kocoment kwenye uzi kama huu ambao umejaa umbea na unavunja sheria za jamii forum..au ndio birds of same feather..??

Unawezaje kukaa apa kujadiri makazi ya watu, kesho uanze kujadiri kitanda anacholalia mtu, anatumia mswaki siku ngapi..anakula wapi??

Huu umbea apa unakusaidia nini?? Ndugu zako wanajua unachokofanya humu? Una support ujinga na kucheka??

Jitathimini dogo na siku nyingine ukiniqoute mimi you will be in for real treat.

Huu uzi lazima ufutwe na utafutwa tu..haiwezekani watu wanajadiri makazi ya watu na unaachwa uishi kias hiki.
 
Reactions: Lee
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…