Si aliyekuagizia akulipieAnalipia nani? Nishamaliza wananidai hela.
Mwenye kiti wetu dabyWanaume wa mikoani mko wapiii
Natuma halo money saiviAnalipia nani? Nishamaliza wananidai hela.
Unisamehe kwanza jaman huwa nawaza mshipa ulivyo napata picha yake halaf najiuliza au sababu ya kujiita hivi anao ninii mshipa[emoji23] [emoji23] [emoji23] niambie kwanza unawaza nini?
Kweli auntie awekwe tu kwa wasiojulikanaHahahaaaaaaa!!
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Utume nyingi nyingi tafadhali.Natuma halo money saivi
Ndio kasema anatuma hela, naendelea kunywa hadi hela ije. Shauri yake niko ya sita.Si aliyekuagizia akulipie
Hata mimiKhaaaah!!
Anataka papa huyoNishafika kuna mchuchu ananibana whatsapp huyoo sijui nimblock halaf anatumia kizungu tu ananichosha kichwaa jamani
Hata mimi
Basi nawale waweke kundi la peke yao.Watajiwekea uzi wao
Najaribu kuwaza kwa sauti wewe mwanaume unafanya nini kwenye uzi ambao una mandhali kama salon ya kike??Hahaha nitakuja kukuchukua ujiandae
Wewe si wa moro wewe au kweli wa dar [emoji13][emoji13]