Praise lord.....
Enyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo naye alivyolipenda Kanisa, akajitoa kwa ajili yake;
Waefeso 5:25
FUNGU HILI LINA SEHEMU KUU MBILI
Sehemu ya kwanza ni mwanaume kumpenda mke, mme kuwa tayari kutoa chochote Kwa ajili ya mke
Sehemu ya pili,
Sehemu ya kwanza ya Fungu hili,
1. mpende sana mke wako hata kama unaona kama hakupendi ni wajibu wako kumpenda.
2. Kuwa tayari kumpa chochote anachokuomba , Fanya juu chini umpe, usiseme Sina .
3.Inapohitajika kufa Kwa ajili yake Fanya hivyo bila kusita.
4.
5.
Mwisho
Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili; na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu; na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi kuomba kwenu kusizuiliwe.
1 Petro 3:7

- Upendo wa YESU Kwa kanisa hakika ni upendo wa AGAPE, unconditional love.
- Akatoa uhai wake Kwa ajili yangu Mimi na wewe ili tuokolewe,kama alitoa uhai je ni nini anaweza shindwa kutupatia? Hakika anatupenda.