Wanaume wapendeni wake zenu

Attack

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2022
Posts
894
Reaction score
1,608
Praise lord.....

Enyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo naye alivyolipenda Kanisa, akajitoa kwa ajili yake;

Waefeso 5:25
FUNGU HILI LINA SEHEMU KUU MBILI

Sehemu ya kwanza ni mwanaume kumpenda mke, mme kuwa tayari kutoa chochote Kwa ajili ya mke

Sehemu ya pili,
  • Upendo wa YESU Kwa kanisa hakika ni upendo wa AGAPE, unconditional love.
  • Akatoa uhai wake Kwa ajili yangu Mimi na wewe ili tuokolewe,kama alitoa uhai je ni nini anaweza shindwa kutupatia? Hakika anatupenda.

Sehemu ya kwanza ya Fungu hili,
1. mpende sana mke wako hata kama unaona kama hakupendi ni wajibu wako kumpenda.
2. Kuwa tayari kumpa chochote anachokuomba , Fanya juu chini umpe, usiseme Sina .
3.Inapohitajika kufa Kwa ajili yake Fanya hivyo bila kusita.
4.
5.
Mwisho
Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili; na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu; na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi kuomba kwenu kusizuiliwe.

1 Petro 3:7
 
Kuna kitu unataka kusema.

Ila hapa nimetoka kapa. Huo uhatari ni upi Mkuu?
 
😎 Eti ee
 
Na nyie wanawake wapendeni waume zaenu

Ova
 
Maneno ya Mungu always yanampakulia nyama mke mwema, Kwahiyo mume ataangalia sasa kama mkewe ni mwema au Gweruu ndipo aone kama hayo uliyoyaandika yanamfaa mkewe.
 
Maneno ya Mungu always yanampakulia nyana mke mwema, Kwahiyo mume ataangalia sasa kama mkewe ni mwema au Gweruu ndipo aone kama hayo uliyoyaandika yanamfaa mkewe.
Yes ndo maana wanaume wanaambiwa kuishi nao Kwa akili
 

Wapi kwenye maandiko inasema kufa kwa ajili ya mwanamke?
Nachojua unatakiwa kufa kwa ajili ya Yesu tu.

Maandiko yanasema mwanamke pia ampende mume wake. Utampendaje asiyekupenda na kukuonyesha matukio kibao? Huo ni ukichaa.
 

Andiko moja la kibabe sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…