Wanaume warefu...

Wanaume warefu...

gilldenu

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2015
Posts
2,915
Reaction score
3,019
Jaman Leo hata siwasalimii, najua nimechokoza nyuki.

Nyie wanaume warefu mnakwama wapi mbona mnaongoza kwa vibamia na urefu wenu tulitegemea muwe na mizigo ya maana ya kutufikisha kwenye kilele cha mlima.

Mwanaume akiwa tall basi kwenye boksa kuna kipisi tu anyway ndio mlivyo si kosa lenu.[emoji48][emoji48][emoji48][emoji48]
 
Back
Top Bottom