Wanaume Watahiriwe

JacksonH

Member
Joined
Sep 22, 2017
Posts
21
Reaction score
48
Hili Igizo Busu - The Kiss
Limetengenezwa kuhamasisha wanaume kutahiriwa ni muhimu kunakuepusha na Ukimwi na magojwa mengi yanayosababishwa na kujamiiana,
Mie nilitahiriwa nikiwa mdogo sana nakumbuka Mama alitwambia Twendeni tukatembee,
Mara nikaona taxi ingaingia Government hospital sikulia maana nilifata maelekezo ya Daktari walikuwa wawili pamoja na Nesi. Mdogo wangu ndio alilia kwahiyo vijana wenzangu hata wewe mzazi ambaye umefikia hatua ya kuingia kwenye ndoa bila kutahiriwa itabidi ukafanye hivyo na ni mwanamke gani anayekubali kuoelewa na mwanaume ambaye hajatahiriwa maana ni virahisi Sana kupata magonjwa.
 
Wengine mila zao haziruhusu.
BTW mwenye video ya Ruge akimlilia Zamaradi naomba anitagi
 
Aisee kwanini upigwe ganzi wakati kijijini ni line up ya kisu bila kupepesa macho wala kutingishika?
Anyway ujumbe mzuri
 
Aisee kwani kuna watu karne hii na utandawazi huu bado hajatahiriwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…