Mercenary Army
JF-Expert Member
- Jun 2, 2017
- 276
- 641
Jamaani jamaani hivi upo Jf hii kweli?Mnao jiita handsome. View attachment 819218
My dear young sister don't ever rely on those grade themselves as very handsome men... They will dissapoint you when it comes to fast n furiousHivi arusha wapo jf members wa arusha ambao ni mahandsome very handsome ?
Kama mpo comment here if your very handsome only .
ila kama unaweza tokelezea poa ila hii fulsa ni kwachuga tu.
NIAJE MAZEE,Hivi arusha wapo jf members wa arusha ambao ni mahandsome very handsome ?
Kama mpo comment here if your very handsome only .
ila kama unaweza tokelezea poa ila hii fulsa ni kwachuga tu.
nipooo, mie ni HB kiasi hata warembo wakiniona wanasahau majina yao.
wanaanza kung'ata kucha huku wanaangalia chini. hadi huruma aisee.
KutokelezeaSifa za handsome ni zipi?
sijibu tenaNIAJE MAZEE,
HII NINI SASA UNAFANYA WE MLETA MADA? UNATAKA KITU CHA CHUGA AU?
matusi ya nini mzee? kuwa na hekima , kama umenyimwa uhandsome angalau kuwa na hekima basi. ukijiona mwanamme una tabia ya wivu basi jua kuna kasoro katika uanaume wako. mie nipo mawindoni hapa, badala wewe ufatilie ishu zako unaanza kufatilia wanaume katika ishu zao. kuwa makini usije ukaingizwa jingi, mjini hapa.Ni kwa sababu wanakuonea huruma, usikute wanakuhisi we ni shoga la Dar Arusha umeenda kutafuta soko tu.
iv kwa zama hizi bado kuna mtu anajiita handsomeSifa za handsome ni zipi?
Ataitwa handsome na mtu mwingine ila yeye ni marachache sana kujiita handsomeiv kwa zama hizi bado kuna mtu anajiita handsome
Yaani ulivyojitambulisha hadi imeshusha thamani yakonipooo, mie ni HB kiasi hata warembo wakiniona wanasahau majina yao.
wanaanza kung'ata kucha huku wanaangalia chini. hadi huruma aisee.
Yaani ulivyojitambulisha hadi imeshusha thamani yako
Yaani ulivyojitambulisha hadi imeshusha thamani yako
Mamong'ooo ,Manjere ,Machalii ya R