ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
Mwadila bandugu,
Sasa yule mama lao, mama wa kufunda ndo nishatinga ulingoni nimewachora sana mmebwabwaja kila mmoja kaweka khanga yake yenye maneno kedekede mara nitwae hivi nilivyo " Wanawake wanaojua kupenda na wakudandia" mara " Wanajifanya wako kwenye shati hawataki vimsumeno" maneno mengi sana kisa kuwakandia wanawake tumewakoseani kiasi hicho Mnatunyooshea kidole mbele wakati vingine vitatu vinakuatazama wewe.
Aangalia usinyoshe kibanzi waakati boriti nyuma yako Leo mama lenu nimekuja na kitu hichi kimenikereketa mpaka nimeona nikisema sana hapa ili kuwafunza wale walio wavivu na wazembe katika idara zao wajirekebishe na kuchukua hatua madhubuti ya kuacha Wewe mwanaume mzima anajibweteka tu anataka afanyiwe kila kitu, kwani kuitwa mwanamme uliwekewa nanga usoni mwako, si wanaume shoka lazima kujituma na kutafuta na kufanya jambo kwa bidii ili ufanikiwe katika maisha yako. Sasa utakuta mwanaume mzima asubuhi yuko kijiweni anapiga stori hana hata la kufanya.
Anashindwa hata kufanya kitu kikamuingizia kipato nawafunda wanaume wazembe / wavivu wenye kutegemea vya watu wasiotaka kujituma kwa biddiii zao naoa wakawa na kitu cha kufanya wao ni stori ziatawalisha hizo stori, zitawapa yale mahitaji yenu hizo story nimeboreka kuona nguvukazi nyingi hasa vijana wakiume wanakaaa tu hawana cha kufanya wanalalamika eti serikali haijatupa ajira wakati ajira mnaikalia makalioni mwenu?
Unashindwa kubuni kitu kidogo cha kuingiza vitu eti unatkaa ukakae kwenye meza ofisini hapo ndo ujione unafanya kazi kwani biashara wanazofanya wenzenu hamzioni, kwani hakuna kitu cha kufanya eti umesoma siwezi kushika mikaa mie nitadhalilika, kheeeee mnashangaza sana, wakati huu ni wakuchagua kazi si kujituma na kufanya kitu cha halali kitakachowaingizia pesa na ukaachana na hicho na kuanza kile uliochokihitaji.
Acheni kujibweteka, acheni uzembe na msichague kazi jitumeni mtafika mbali sana uwe mtu wa kujituma kwani utaona yale mafanikio yako , mtu mzembe hata marafiiki wema huwakimbia kwani wanaona ni watu wasiio na upeo wa kufanya kitu, rafiki anapenda mtu anayejituma na anayechakarika sio jitu vivu hata ukilipa kitu kifanye lenyewe linasema nimechoka aiseeeeeeee mali hutafutwa kwa kujituma na bidii na kuthubutu sio kujiendekeza kiasi hicho zinduka oka usingizini mwanaume wewe ndio jembe la kazi.