Tatizo la sie tunaojua kupika tunatend kuweka expectation kubwa zaidi kutoka kwa mwanamke! So mwanamke (mke) 'akikosea' kidogo tu kwenye mapishi, keshakuboa!Hata mimi sijui, ila nadhani kama mwanaume anajua kupika hawezi kuwa fussy kama wale wasiojua.Mwenye kujua kupika most probably hatazinguka sana na "mapishi" ya nje maana hata yeye ajua kupika!Ngoja tusikie watakaojibu wanasemaje.
Sidhani hata kuwa hicho kigezo kinakubalika kwa wanawake wengi...at least wale wengi nnao wajua sijawahi kuwasikia kutaja hicho kuwa ni moja ya vigezo vya mwanamme mzuri.
Na kwa vile kimetajwa awali zaidi ya vyote, jee inamaanisha kuwa kinabeba uzito mkubwa zaidi a vyengine?
Tausi,
Hapo kwenye blue...hivyo navyo ni vigezo vya mwanamume mzuri???
Na hapo kwenye red, hiyo list in exhaustive??
Nilibahatika kusikiliza mazungumzo ya wadada fulani wakisema ati wanaume wazuri ni wale waliopata malezi ya karibu ya mama zao.
Wakatoa mifano ya ni vipi waliliona hilo:
Wanaume hao wanajua kupika, kulea watoto, wana huruma zaidi, wanaheshimu wanawake, wana upendo, wanajali, etc.
Hili likanifanya nifikirie na kwa kiasi nikaona lina ukweli.Nimeliona hilo kwa ndugu zangu wa kiume waliolelewa na mama zao bila kuwepo baba, au wale waliokuwa na baba lakini wakatii sana mafundisho ya mama zao.Wako independent zaidi, hawanaga makeke sana kwa wake zao, nk...
Hebu tupate mawazo zaidi kwa wale wenye uzoefu.
Mwanamme asiyejua kupika mbona ni hatari sana; ndio mwanzo wa unyanyasaji.. nadhani hata kwa mwanamke ni to her own interests to have a man who can cook. Matokeo yake mama akiugua au kusafiri utaletewa msaidizi wa kupika.. (vyote viwili)..
Kwa mtizamo wa wadada kadhaa ambao nawafahamu, yes ni wanaona kama mmojawapo ya "added advantages" (nachelea kutumia neno 'quality':lol::lol🙂!Mwanamme kujua kupika ni quality ya kusema ni mwanamme mzuri?
Kweli???
Halafu tukimbilie kwa nani tena???
mmmmmmhhhh Mkuu,haya bana!Mwanamme asiyejua kupika mbona ni hatari sana; ndio mwanzo wa unyanyasaji.. nadhani hata kwa mwanamke ni to her own interests to have a man who can cook. Matokeo yake mama akiugua au kusafiri utaletewa msaidizi wa kupika.. (vyote viwili)..
Changing mind-sets ni kaaaazi kwelikweli!
Hili nalo neno! Mama anatakiwa asidekeze bali alee kijana wake kwa kuzingatia kuwa anachopaswa kufanya ni kumsaidia kijana kujitegemea. Vinginevyo mkaka atakuwa anaamini hawezi kufanya kitu bila kumuuliza mama.Kaazi kwelikweli!Kuna ukweli mkubwa sana kwa hili ingawa kama mama hajaweza kubalance, mtoto wa kiume anaweza kuharibika na kuwa mtu anayedeka kupita kiasi. Na kitu kingine pia kama mwanaume yuko so close na mama yake, halafu mama yake akawa ndo waleeee, huyo dada atakayeolewa mbona atakoma kuringa. maana the guy would never be independent....kila kitu lazima mama atoe mwelekeo.
Yaaawiii
kuna baadhi wanatoka super kweli
Ila kuna wengine balaaa bora u date mwanamke
mwanzako kuliko huyo.
jamani mbona migahawa chungu tele? kwanza hao waliooa mbona kutwa kucha tunakula nao magengeni? nenda rose garden,breakpoint,hugo,jackies,bulyaga,rosanna etc uone mianaume iliyooa inavyofakamia michemsho na mi shwein ya kuchoma wakati wake zao wamejaa tele majumbani mwao,akifika anafunua hotpot na kuvunga vunga kama anakula kisha huyooo kwenye blanketi.Binafsi nadhani mwanaume kujua kupika katika zama hizi is a PLUS!!
Mwanaume kama hujui kupika mbona unaweza kujikuta katika hali mbaya pale huyo mkeo hayupo.
Kwa mtizamo wa wadada kadhaa ambao nawafahamu, yes ni wanaona kama mmojawapo ya "added advantages" (nachelea kutumia neno 'quality':lol::lol🙂!
Nadhani kuna wakati inabdi tukubaliane kuwa tuna ltifestyles za aina mbalimbali. Wnaume wanachange diapers,wanalisha watoto......Hapo umekusudiaje?
Ikiwa tunazungumzia haya haya mapishi ya kawaida, basi kama mwanamme anajua kupika nadhani atapata tabu sana kula vyakula vya mwanamke asiyejua kupika, atakuwa fussy zaidi, unless niambiwe kuwa ataamua kupika yeye mwenyewe hivyo nafuu kwa mwanamke.
Hivi kila nikiingia jikoni kupika how do you feel?Yaaawiii
kuna baadhi wanatoka super kweli
Ila kuna wengine balaaa bora u date mwanamke
mwanzako kuliko huyo.
umeanza!Hivi kila nikiingia jikoni kupika how do you feel?
Hivi kila nikiingia jikoni kupika how do you feel?
umeanza!
AD kaa naye mbali huyu,keshashindikana.