Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,370
Kwa kweli kipendacho roho hutakiwa zaidi...ila kuna hali fulani vile unavopanga na kuvipenda mara nyingi inakuwa tofauti unajikuta unaangukia kwa mtu ambae hata hayupo kwenye vigez vyako, na unampenda kwelikwelihulka ya binadamu kupenda asicho nacho. mimi sura yangu ni roundish au wengine huiita pana yaani ugonjwa wangu ni sura nyembamba dizaini za kisomali hata wife wangu sura yake ni nyembamba dizaini hizo. mwanamke mwenye sura pana km yangu kwa kweli ntamwomba tu awe dada yangu lkn msichana mwenye sura nyembamba kweli ananipagawisha!
Mimi hata sijui kwanini dadaa!...napenda sana vya kuteleza,vya kubana sio zangu!Ni kitu gani zaidi kinachokufanya upende wanene sana? kwani wewe ukiwa mwembamba huwezi kuwa na wembamba wenzako?embu funguka kidogo
nyie hamkosi...Mm mwembamba,cpend wanene sn. .MY TAKE:dont generalize stereotype
mhhh nyumba kubwa kwani watu wanaongeleaga maumbo tu humu? si kuna thread nyingi tu zinaongeea mambo tofauti?Hivi ina maana watu wanavutiwa na maumbo tu? Kuna vitu vingi sana vinavyomvutia mtu. Kuna mtu akikuangalia tu watamani umfate mpaka anapoishia. Mwingine akiongea ndio mama wee. Ila nimeona hapa JF watu tuna discuss sana maumbo as if watu wana fall kufuata hizi nyama.
ndio nini sasa
natamani niujue huu wimbo
Wewe kila mtu humu anajua flavour zako ni wanene hakuna doubtmshangao.....nimeona kama unasema wanawake wanene wanapenda wanaume wembamba...
Kwa kinyume hivi lol
mi mwembamba by the way....lol