Wanaume wembamba wana visa...

kuna wimbo mmoja wa zamani sana ukiimbwa mwembamba mtoto mwembamba asiye na wivu mwembamba asiyemchoyo mwembamba mama sijui ni wa kenya ulee haha mmenikumbusha tena. lkn wote mkiwa wa nene hata haipendezi mkiwa tofauti atleast inakuwa swafii
Chimunguru huu ni wimbo gani mbona siupati, upo you tube?
 
Makubi changia basi, unamjua mwalimu makubi wewe??
 
Ni sahihi kabisa, kwani hata wanaume wanene wanapenda portable ladies, hii inakuwa easy to carry. hebu fikiri endapo watakutana wanene kwa wanene kazi itakuwaje? nafuu la bda kwa wembamba wote
 
Mie nafikiri ni kinyume chake. Watu wanene wanapenda jinsia ya watu wembamba awe mwanamke ama mwanume. Na kuna ka myth kuwa wanaume wembamba kwa vile hawana minyama mingi basi Huko kunako Adam wako endowed sana. Na hivyo wadada wanene wanafikiwa sawaswa!! maana kama yotr ni miturbo basi mambo kidogo inakuwa sio mswano. Na mibaba minene inapenda wembamba kwani ni easy to handle!! I am not generalising though
 

Mama Shantel acha, siri kubwa ya hivyo vitu ni simple...wewe angalia mnene awe na mnee mwenzake hapo mechi kweli itanoga? Mwembamba anafit kwa jinene bwana hahaha..pili wembamba wanamizigo weweeweewewee?
 
Dah nikweli kabisa mwanaume mwembamba hupenda wadada mabonge coz wembamba wenzao huwa hawana ladha kabisa mi mwembamba na ngoma zangu zote ni fuso pushiepushie vx yaani wenye mwili wa wastani ila wemba2 kama mie hapana niliwah jaribu ila nikaambulia majuto ya nafsi so naona ladha ipo pindi unapo kutana mwanamke mnene tena mnatifuka mpaka basi rahazote wapata maana pia wanajoto kuliko wembamba
 
wewe wako mwembamba au mnene???
 
Siyo wembamba tu hata wafupi pia ndo tabia zao. Jaribu kufuatilia hilo
 
kweli hii, mhh sijafanya research
 
Mama Shantel acha, siri kubwa ya hivyo vitu ni simple...wewe angalia mnene awe na mnee mwenzake hapo mechi kweli itanoga? Mwembamba anafit kwa jinene bwana hahaha..pili wembamba wanamizigo weweeweewewee?
Magulu nyie wasukuma haijalishi uwe mnene au mwembamba, mwanamke wako lazima awe mnene ndio mnajisikia raha. Uongo???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…