Wanaume wembamba wana visa...

Magulu nyie wasukuma haijalishi uwe mnene au mwembamba, mwanamke wako lazima awe mnene ndio mnajisikia raha. Uongo???

Sio wote Shantel...mie mke wangu ni easy to carry, lkn kwa ujumla wasukuma tunapenda sana wanene si unajua kazi kwa msukuma akipata ugali wa udaga au wa mahindi aysiokobolewa wewe unadhani kazi kwa mwembamba ataiweza kweli? halafu mnene unagalagala tu wala hakuna kusema wewe mzito...yaani unaogelea tu...hahahahahaha
 
umechanganya,zena alikuwa kibonge mrefu..
mwembamba ni betina........mpinzani wa zena...lol
Duh kweli nimekumbuka, pimbi alikuwa anamzimia sana, ila mfupi yule sijui inakuwaaje sipati picha
 
Tunawaita four by four by far...Utanambia nn mtoto wa Kisukuma ndani ya 18?
 
Magulu kwani huwa unajiachia limwili lote? si unakuwa umeweka mikono kama push up au? hata wanene hawapendi kulaliwa
 
Magulu kwani huwa unajiachia limwili lote? si unakuwa umeweka mikono kama push up au? hata wanene hawapendi kulaliwa

Shantel KAMASUTRA ina styles nyingi tu na mamaa inabidi ajishugurishe, wewe kuna zile heavy duty ukijifanya mpiga push ups mikono haifiki inabidi tu ubembee ndo maana wembamba wanapenda bembea kwa sana tu......ila usiombe ile Riding Horse style kwa mnene utakoma mwenyewe...
 
Mie inategemea mwembamba ila sio mnene kupitiliza

Which means wewe ni? Ila asikudanganye mtu. Mwanaume yoyote akiwa kwenye 6 X 6 anapenda awe na mwanamke mnene. Akiwa mitaani anapenda aonekane na mwanamke mwembamba (ki-model). Wengi wanasema hii ni myth tuu, lakini ni ukweli mtupu. On the other hand, pair ya mnene/mwembamba ipo hata kwenye urafiki usio wa kimapenzi. Mi mara chache sana kuona wanawake wanene wakiongozana mtaani. Hata kwa wanaume pia.
 

sasa Shantel, wote mkiwa wembemba au wanene huoni italeta matatizo kwenye 6x6?
 
Magulumangu! hahaha kwani mikono ya mnene na mwembamba huwa inapishana uresu? hahahahahaaaa
 
Kweli kabisa mi nilifanya utafiti kwa watu41. alikuwa bonge mh kazi yake nzuri sana2. wawastani simnene si mwembamba hakuwa mbaya sana japo ahh3. alikuwa mwembamba yaani nilijuta hakuna kitu japo yy alizimia kamchezo mm ikabidi nitafute bongewangu fasta nipoze majuto.na wamwisho alikuwa mnene wa kupitiliza but utashangaaa mziki bongo fleva haukesh sio sikinde ngoma yautu uzima naona kwasabb alikuwa mweupe kidogo mwekundu hilo ndio lilikuwa tatizo ila ladha ilikuwepo kama kawaaaaaa
 
aaah, lengo ni ili kubalance vizuri equation husika
 
Magulumangu! hahaha kwani mikono ya mnene na mwembamba huwa inapishana uresu? hahahahahaaaa


Hahahaha we huonagi gaga? mtu akinenepa hata kama alikuwa mrefu size huwa occupied by upana hivyo kuonekana mfupi and mfupi by kucraim kwa wabongo kila kitu chake kifupi plus nanihii ya mfupi walahi iko tight kinoma na kama ni mwanaume iko ndogo...Chunguza utanambia kwa PM
 
wanatupenda wenyewe dadangu... wanadai eti sisi ni kiboko....
 
wanatupenda wenyewe dadangu... wanadai eti sisi ni kiboko....
Sio nyie ndio mnawapenda? unaweza kumkubali msichana ambaye hakuvutii, eeeeee jimbi!
 
Wafupi mbona huwa wana sifa ya kuwa na nani hii kubwa
 
Chavka, una mauzoefu sana, hapo hakuna wa kukudanganya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…