kuna aliyesema utamaliza mabucha nyama ni ileile weee! kakwambia nani? nyama ni ileile likini sura ni tofauti utamu ni tofauti. Nyama iliyo lala ni sawa na ya leo? Acha kuna nyama mpishi hata awe mzuri haifai hiyo. Utakula tu ilimradi lakini hutaridhika na kwambia. kuna baadhi zina shomboooo!!!!!!