Mbona wanawake wana lalamika siku hizi kuwa hawaoni waoaji kwani vipi wanaume siku hizi mnaogopa kuoa au ponyeto inafanya kazi uko kwenu?
Chukuweni majiko bwana tupunguze idadi ya wanawake wengi ma sigle mitaani
Ila wanawake na Ninyi mmezidi bwana
Zile kauli zenu mnataka wanaume warefu zilishia wapi?
Yaani siku hizi imekuwa shida ukimtongoza mwanamke apo apo hivo unakuwa mume
Na bado
Mpaka Neno la nabii isaya litimie :ISAYA 4
1Wakati huo wanawake saba watamvamia mwanamume mmoja na kumwambia, “Chakula na mavazi tutajitafutia wenyewe, lakini wewe utuondolee aibu yetu, uturuhusu tuitwe kwa jina lako.