Wanaume wengi tumefanya huu mchezo. Asibishe mtu

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
11,048
Reaction score
15,465
Kuna katabia fulani ni common sana kwa Wanaume au watoto wa kiume.
Mtu kama kapata Papucci anaenda nayo Guest/ Lodge akifika kule kwenye Register ya wageni anaandika Jina la Msela wake na Sio lake.

Mf. Mm niende Guest na niandike jina CHIEF MKWAWA [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
anae bisha afanye kama anajikuna tuone
 
Sisi huku mkoani tushazoea kwenye nyumba bovu au vichakani au chini ya mti mkubwa wenye matawi yalioshuka hadi chini hayo mambo ya lorge labda nyie wahuko dar

Back
Top Bottom