Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,048
- 15,465
Wewe hujaoaHakuna mwanaume anaeweza akafanya upuuzi huo, zaidi ya wavulana
NdioWewe hujaoa
kweli kabisa..ni wavulana haoHakuna mwanaume anaeweza akafanya upuuzi huo, zaidi ya wavulana
Tena wenye ndoa ndo tabia zao. Wanapoteza ushahidikweli kabisa..ni wavulana hao
Kuna katabia fulani ni common sana kwa Wanaume au watoto wa kiume.
Mtu kama kapata Papucci anaenda nayo Guest/ Lodge akifika kule kwenye Register ya wageni anaandika Jina la Msela wake na Sio lake.
Mf. Mm niende Guest na niandike jina CHIEF MKWAWA [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
INCOGNITO
anae bisha afanye kama anajikuna tuone
Ahahaha ww ndo mdau namba mojangoja wenzako waliofanya hivyo wakuje