Nyankuru Wankuru
JF-Expert Member
- Apr 22, 2018
- 1,199
- 1,346
Hayo magoti huwa wanapiga wakiwa wana sali au !?Wakuu naombeni wimbo Wenye kionjo cha wanaume wengi usiku wa manane huwa wanapiga magoti.
Asanteni sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hiviWakuu naombeni wimbo Wenye kionjo cha wanaume wengi usiku wa manane huwa wanapiga magoti.
Asanteni sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, una akili sanaasNa wanawake wengi huwa wanakaa mkao kama wanyama wenye miguu minne
Ukifika hatua hii ujijue ww ni kondoo...